Kama ningeyajua haya nisingeitoa mimba yangu ya karibu miezi minne

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
"baada ya kumuhoji midwife wangu maswali nimejifunza kuwa kumbe mamba ya miezi mitatu ni katoto kabisa kenye kenye hisia,kanakosikia maumivu Kama Mimi,kenye kimono na miguu na anaonekana Kama binadamu kabisa.laiti ningeyajua haya nisingeitoa ole mimba ambayo kwa wakati ule nilidhani ninatoa mabonge bonge ya damu tu kumbe niliua katoto kasiko na hatia bila kufeel guilty kwa miaka yote hadi leo nilipojua kumbe sikutoa mabonge bonge ya damu bali nilimuua m
toto wangu"
Hayo yalikua ni maneno ya rafiki yangu aliyekua akinielezea huku akilia kwa uchungu kama aliyefiwa.
Huyu rafiki yangu kwa sasa ni mjamzito lakini sikuwahi kudhani Kama na yeye ni miongoni mwa wauaji wakAtili wa viumbe visivyo na hatia.
Je unafikiri anastahili jamii tumuelewe kuwa sio muuaji sababu anadai hakujua kuwa miezi mitatu ni mtoto?
Kama anastahili kueleweka basi mi naona ipo haja ya kupeanA elimu kuwa mtoto tokea siku ya kwanza mimba inapotunga huyo ni binadAmu na kumtoA bila sababu za za lazima za kiafya Hayo ni mauaji.
 
Huyo rafiki yako hana tofauti na waliotaka kuondoa uhai wa dr. Su! Badala ya kulia anatakiwa atumie muda wake kutubu kwa mungu wake maana amemukosea sana kutoa uhai wa kiumbe alichotaka kiishi kwa muda ambao alipenda yeye (mola). Zaidi mshauri rafiki yako aache uzinzi matokeo yake ndo hayo kumpa binti mimba wakati yeye kidume hakina hata maandalizi ya malezi.
 
Hapo mie nakataa .......

Physicaly mwanzoni anakua cells na kuendeleA kukua akibAdilik kuwa na muonekano wa binadamu.hatA hivyo hAta hizo cells bado kwangu nahesabiA kuwa ni binadamu kabisa sababu wote tumeanziA huko,hivyo kwangu mimi hAta mimba ya siku moja ni binadamu na kumtoA kwa makusudi ni mauaji
 
Tukiamua kwenda hivyo tutafika mahali tuseme mijusi, kenge, na kima ni binaadamu
 
Tukiamua kwenda hivyo tutafika mahali tuseme mijusi, kenge, na kima ni binaadamu

Kama mijusi na kenge inAanziA uhai wao katika tumbo la binadamu mwanMke mule anapokaA mtoto kwa miezi Tisa bAsi tunAwezA kuwaita binadamu il kam sio basi mfano wako wa mijusi na makenge umepwayA ktk sualA hili.
 
Sio mijusi na kenge inayoanzia uhai kwenye binaadamu bali uhai wa binaadamu umeanzia kupitia kwao wao

Kwa ufupi ni kuwa kima na mijusi ni babu na bibi zako
 
duh! Pole zake kama anajuta kutoa, maana wengine wanatoa na wala hawajawahi juta.

Ndo hivyo wangu,kamA kuna stages za mimba ambazo mtu anaona kuwa kilichopo tumboni ni sawA na kenge Au kimA sidhAni Kama kwa hao kuna kujuta walA muons vibayA.anywAy binadamu tuna roho tofauti.
 
Uelewa wetu mdogo unatufanya tusione athari ya kufanya baadhi ya mambo ya kikatili kwa wenzetu.majuto mjukuu

NdahAni piA na roho ya ukatili inachangia,Huyu dada huwa namuangAliA hAta Imani naye sina tenA.
 
NdahAni piA na roho ya ukatili inachangia,Huyu dada huwa namuangAliA hAta Imani naye sina tenA.

Katili wa nini sasa? Si unajua wengine wanaanza mapenzi bila kujua pros and cons zake. By the way, mbona huo mchezo wa kuua vichanga unafanyika sana hata na watu wenye ndoa?
 
Katili wa nini sasa? Si unajua wengine wanaanza mapenzi bila kujua pros and cons zake. By the way, mbona huo mchezo wa kuua vichanga unafanyika sana hata na watu wenye ndoa?

NdahAni umeshasemA kuuA vichAnga,si ndio ukatili Ukatili wenyewe huo tunaoongelea
 
Haaahaaaa! Haya bwana but people do it kama hicho ni kitu kidogo sana

Imagine hadi wanandoa wanaua bila sababu,hawa tayari wanajuA kabisA kuwa wanUa mtoto,watoto wa shule nao wanAjiteteA kuwa wanDhNi ni madamu damu wanatoa.wTu wAnaogopa ukimwi kuliko mimba sbb Kwao mimba ni sawa na mijusi tu ikiingia wakati usiotakiwa inanyofolewa mbali.how evil
 
Back
Top Bottom