Kama ningekuwa mwana ICT

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
http://blog.afroit.com/?attachment_id=1080

Kuchangia Nenda hapa!

Kipindi naingia kwenye ulimwengu wa ICT nilikuwa na maswali mengi mno kichwani,nilipata shida sana kujiweka kwenye mstari kamili wa ICT,ingawa safari bado haijafika ila leo hii ninaweza kujua nini ninakihitaji,ninaweza kujua nini cha muhimu katika kuhakikisha ninafikia malengo husika.Hivyo ni vyema tukashare pamoja ili kuwasaidia wengine ambaoo labdawazaje wapo kwenye hatua kama niliyokuwepo.
ICT kama fani nyingine iina misingi,taratibu na kanuni zake. Wengi wetu kwa kutofahamu au kupuuzia tumekuwa tukitupilia mbali kanuni na misingi ya ICT kitu kinachopelekeakumomonyoka kwa maadi ya ICT vilevile kutoweza kufukia malengo ya ICT katika ufanisi wake,hivyo basi nimefanya majadiliano na wataalamu kadhaa walio nje ya ICT,wote waligusia mambo kaza wa kaza ambayo wangeyafanya kama wangekuwa wana ICT. Kumbuka siku zote watu walio nje ya mchezo ndio wanaojua vizuri siri ya mchezo.
Wengi wao walitamani sana kama wangekuwa kwenye ulingo wa ICT,mmoja baada ya mwiingiine walinena kama ifuatavyo.

1.Ningechagua muelekeo wa kufuata

Kila mmoja wetu anafahamu kuwa,pindi unapotoka ndani ya nyumba kuanza safari jambo la kwanza ni kuhakikisha kuwa unafahamu wapi unaelekea(umeshaamua ndio maana upo nje),kuchagua jinsi gani ya kwenda(kwa miguu au kwa taxi) pia muda wa kwenda(iwe saa nane mchana au za usiku,safari ni safari tu).Hii ni sawa na ICT,unapoingia kwenye ulimwengu wa ICT jambo la kwanza ni kuhakikisha kuwa unachagua uelekeo wa ICT unaoupenda au kukuvutia.ICT ni kubwa mno na ni kosa kubwa linalofanywa na wengi kwa kutochagua uelekeo hivyo mwisho wa siku unajikuta unajiita mwana ICT ila hakuna kipengele hata kimoja unachoweza kusimama na kusema mimi ninaweza hiki. Ingawa ICT kwa mazingira ya kwetu unatakiwa uwe kiraka kutokana(kwani tunaishi kwenye jamii ambayo teknolojia bado hivyo waoo wanategemea mwana ICT anaweza kila kitu),ila hili lisiwe ni kizuizi au sababu ya kukupelekea wewe kupoteza uelekeo. Hivyo kama ningekuwa mwana ICT ningechagua wapi pa kwenda,iwe kwenye mambo ya Networking,iwe mambo ya usalama,iwe mambo ya designing iwe mambo ya mitambo nk.Kitucha kwanza ningeweka jiwe la msingi halafu safari ianze,hii ingenisaidia kuniongoza katika safari yangu nzima ya ICT.

2.Ningejumuika na wana ICT wenzangu

Wana ICT wanaitwa hivyo kwakuwa wanatumia mawasiliano katika kufanikisha mambo yao,je mawasiliano hayo tunayatumia ipasavyo? Je umewahi kutembelea mitandao au vijiwe vya ICT na kuona jinsi vilivyopooza,je wana ICTwanapata muda wa kukaa pamoja na kutafakari harakati mbalimbali za kupeleka mbele fani zao? majibu ya haya yote ni kimdondo. Hivyo mimi kama ningekuwa mwana ICT ningedumisha mawasiliano na ujumuikaji na wana ICT wenzangu,kutokana na mijumuiko hii iingeniwezesha kufanikisha kujua wapi nipo na wapi ninakwenda,pia ingesaidia kunipa challage kitu ambacho kingeongeza ufanisi wangu kikazi.Kuna baadhi ya wanajamii waliifananisha ICT na kirusi cha ukimwi,ni hatari sana na kinabadilika kutokana na mazingira fulani,ICT nayo hivyohivyo,hapa tunapata picha kuwa ili kuikamata ICT inabidi uendane n amabadiliko hayo,kitu cha msingi ni kujichanganya na makundi,mitandao na hata jamii za ICT.(AfroIT forums,jamii forums(upande wa tekknoloji).ethinkers,ICT pub nk ni miongozi mwa website ambazo unaweza kukutana na wana ICT wa kitanzania.

3.Ningeihalisisha ICT ili iwe na faida kwa taifa letu

Kuna kipindi nikiwa nchi fulani ambayo ipo vizuri katika mambo ya teknolojia,nikasikia kuwa nyumbani wameshaanza kutumia teknolojia ya 3G,nikafanya mazungumzo na baadhi ya wataalamu wa kule,yeye akasema wao bado hawajaanza.Nikaanza kujiuliza ina maana sisi tupo kasi sana? Au tumepiga hatua kwa sana? nikamuuliza je ni kwanini ninyi hamjaanza kuitumia hii teknolojia? Akasema”kabla ya kuivamia hii 3G ni lazima tuisome na kuitambua ipasavyo ili tuweze kuihalisisha kutokana na mazinigira yetu ya hapa(Nchini kwao)”.NIkasema duh. Hivyo kama mimi ningekuwa mwana ICT kitu cha busara ambacho ningekifanya ni kuhakikisha ninafikisha teknolojia husika kwa jamii husika ya Kitanzania,sio kila teknolojia ya nje laziima itumike au iingie nyumbani,kuna baadhi ya teknolojia zinatakiwa kuchujwa na kurekebishwa kabla ya kuingia nyumbani pia kuna nyingine inabidi kuzipiga chini kwani hazina manufaa au haziendani na utamaduni wa mtanzania.Nadhani kuna bodi inayofanya hii shughuli(TCRA),ila miimi kama ningekuwa mwana ICT ningehakikisha ninapata kitu murua kwa wakati murua.

4.Ningeshirikiana na wanajamii katika uvumbuzi

Kama nilivyogusia hapo juu kuwa lengo la ICT ni kurahisisha na kuboresha maisha,amini usiamini jamii au watu wasio wana ICT huwa wana mawazo mengi na ya maana mno katika ICT,kwani wao hufikiria bila ya kikomo,wewe ukiwa kama mwana ICT kabla ya kufikiria unaanza kuwaza je hili linawezekanika? Je lina ugumu gani? Ila wao wsio wana ICT wao wanachotaka ni kuona matokeo,umefanya nini wao hawajui na hawataki kutambua,hivyo kitendo chako cha kuwashirikisha sio tu kitakuwezesha kutimiza mategemeo ya wanajamii bali pia kitakusaidia kuongeza wigo wako wa ICT.
Sasa kwa naishia hapa, jukwaa limefunguliwa,je kama ungekuwa mwana ICT ungefanya nini??

http://blog.afroit.com/?p=1081

aisee ndugu hili ni wazo zuri sana kama kweli ulichosema kikifuatwa mageuzi ya kiteknolojia tunaweza yaona

kazi kwenu watu wa ICT sijui kwanza kama ipo bodi au chama cha ICT

once nilikuja na hii thread
https://www.jamiiforums.com/technol...moto-za-ict-kwa-serikali-na-taasisi-zake.html

Nilishangaa sio wana wa IT au watu wengine walio toa mchango. Watu wengi wa IT akiliz zetu ziko kwenye Software, website, Network, Programming, Security.

wataalamu wengi walioajiriwa hasa serikalini hawajiulizi wanawezaje kutumia fursa zilizopo tayari kuboresha huduma,au kuongeza ufanisi

Kuna mambo mengi yapo tayari kutumika lakini ni uvivu tu wa watu au kukosa ubunifu au kuwa na mawazo mgando

Ku summarize niliandika hivi
• Shule za sekondari mjini kwa nini zishiwdwe kufundisha wanafunzi practical kwa njia ya youtube au video. Maabara nyingi hazina chemical na vifaa . Je hata Video za Youtibe ni kazi.Kwa nn wanafuzi wajifunze practical kwa notice? tena wa mjini.?
• Maktaba zetu hazina vitabu vya kisasa. Je hakuna wataaalam wanjua kuwa kuna tasisi zinawesha watu kusoma electronic book online. Kwanza ni bei nafuu na pili itaondoa tatizo la Wizi
• Wizara ya utalii inaweza kuitanga tanzana bure kabisa kwa njia kam justin.tvSite hii ya streaming ina watazamaji wengi sana kuzidi hata vituo vya television

Hizo solution zote haziitaji Mtaalam wa Linux, wala PHP au WPA2. Ni changamoto kwa wa ICT popote walipo kujiuliza maswali Teknolojia gani zilizopo zinaweza kuongeza ufanisi na uboreshaji wa huduma.

Back
Top Bottom