Kig
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,076
- 456
Naomba kujua kama nikiwa na milion 7, ninaweza kupata gari mojawapo kati ya hizi (duet, vitz, nissan march, corrola, spacio nk) kwenye yard za Dar es salaam. Au kuna Yard ya Magari ndani ya Dar ambapo wanauza magari kama hayo kwa bei ya milion 7? naomba mnujulishe tafadhali