Kama nimekichoka chama kwanini mniwekee zengwe na kutishia usalama wangu??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Mimi chama nimekichoka na sikipendi kwanini mtishie maisha yangu na kunifanya mtumwa wachama hicho??sasa hapo uhuru wangu uko wapi?Nanichukuliwa kama nimehaini kwa sababu ya mitizamo na itikadi hivi kweli CCM mnatupeleka wapi watanzania wa nchi hii??Lichama nimelichoka mnaning'ang'aniza kuwepo!!Nikitoka kibabe au ikisemekana nataka kuacha unasikia naitwa dodoma..............................!!
Ukijifanya mbishi utajikuta uko Aporo India!!Sasa nini??
 
Baki hukohuko kwenye hilo unaloliita lichama maana mmeshafanya mauaji makubwa sana usije ukaleta hiyo tabia kwenye vyama vingine vyenye lengo la kumkomboa mtanzania. Mtakoma kunywa damu za watu. Hiyo ndoa ndio inakufaa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom