Kama ni mfanyakazi ni kazi gani anafanya?

Hiyo ni athari ya matege, mtu yeyote mwenye matege kiatu huisha upande kama hivi

wala sio aina ya kazi anayoifanya
 
hiyo ni athari ya matege, mtu yeyote mwenye matege kiatu huisha upande kama hivi

wala sio aina ya kazi anayoifanya

kunawengine hawana matege lakini sole inaisha hata kuzidi hiyo.
 
Huyo ni JF member flani, ana kazi flani, Yupo kefu anajaribu kupunguza stress kidogo.
 
Duh sijui kama si teacher......ila mtunzaji nae kiatu hadi kinasema basi usinivae yeye anacho mguuni ahaaahahahahhahh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom