Kama ni mapezi jama yaliashaisha zamani...

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hivi siku hizi kuna mapenzi kweli hebu ona huyu Staa wa filamu bongo akiwa na mke wake kwenye RED CArpet pale Regency pack Hotel

DSC00145.JPG
 
Sijakupata mkuu!

Kwamba Mwanamke ni mwoga wa kupigwa picha au hajui kupozi hilo halina ubishi. Kuhusu mapenzi hapo sijakusoma

Regards,
 
Ni km mwanamke hana raha flani!! Kaja basi tu kuwakilisha lkn ile bashasha haipoo tena
 
Aa! Mfukunyuzi mbona husomeki? tatizo hapo ni pozi tu lakini sio mapenzi mkuu.
 
kwani hapo tatizo nn haswa inategemea mpiga picha alipiga wakati wife alikuwa kwanye modi gani ila uwezi kujaji kwamba awapendani kwani wawili awatembei pamoja pasipo kuelewana
 
Sielewi ilikuwa ukilenga nini katika mada hii kama nisivyoielewa Avatar yako. Tafadhali fafanua kwa uzuri bila ushabiki
 
hivi mnategemea watu wanaopenda ndio wasitofautiane hata dakika moja?
si dhani kama humpendi mama yako au yeye hakupendi, lakini nna hakika keshawahi kukukunjia uso na wewe pia.
 
Jamaa ni msanii (hence ana uzoefu wa kamera), mke si msanii (hana uzoefu na kamera).
Nothing to do with love.
 
Mh .........jamani haya yote mnayatoa kwenye kuiona hii picha ama mnayo myajuayo nyuma ya pazia! Pose or not halina uhusianao na ndoa ya huyo star!

Nakwenda mbali zaidi nampongeza msanii sijui star husika kwa kupiga picha na mkewe eer kama kweli huyu ni mkewe wengi wa mastar i mean wasanii bongo hawako open hivi!
 
Back
Top Bottom