Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,671
- 7,974
Nani katukanwa?si washindane kibiashara,kuchukua watu kutukana sio sawa
Washabiki wa Yanga ni wateja wa Simba na washabiki wa Simba ni wateja wa Yanga.
Its all bussiness.
Nani katukanwa?si washindane kibiashara,kuchukua watu kutukana sio sawa
Azam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe
Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake
Ukubwa wa simba mnaousema ck zote ni upi?
Nilisema hapa kuna mtu ni wa hovyo sana!!..sasa hivi hata mwananchi hawaingi kambini,ukiwa club kubwa inataka uishi kikibwa sana!!..sasa tunapata taarifa siyo tetesi tena!!Lopolopo Hajj Manara lilidai lina mkataba wa simba milion 384 kwa mwaka kuonyesha contents za simba huko Azam TV.
Cha kushangaza ni contents za utopolo ndizo zinaonyeshwa huko Morocco ina maana hela yao imeliwa bure?
Azam alipie kuonyesha mambo kambini ndio Mpango wa sasa hatutaki bure bureAzam TV wana umuhimu sana kwenye content za mpira wetu, tuende mbele, turudi nyuma ukweli lazima usemwe
Yanga wanapata coverage kubwa now kutoka Azam na ni haki mashabiki kujua kinachoendelea katika kambi ya timu yake
Hata mualifu anapohojiwa lazima asumbue kidogo, ila mwisho wa siku lazima atasema ukweliSisi coverage ya Simba kambini tunaipata kwa page za Simba inatosha,tukutane uwanjani ndiyo mambo yote
It's okay for now Ila itafika time na kujiona mlikosea na itakuwa too late na kuanza kushusha lawama kwa mtu mmojaCc tunataka ubingwa hizo coverage wapewe uto tu
We mjinga kama walishasaini mwaka mzima ilitakiwa contents za moroko ziruke au hujui hilo
Ungekuwa na busara,usingeandika huu upuuzi....Zeruzeru la dunia ukitaka kanye nalo kabisa
Daaaaaaaa ndo swali la kuuliza kweli? Au umekalia utopolo. Yaani simba ya inakaa poti moja na Al Ahly afu unaulizwa swali kama ilo?Ukubwa wa simba mnaousema ck zote ni upi?
Nenda kajifunze kwanza kuhusu kilichoandikwa na mtoa post ndo uje tena. Usije ukatufanya wote wajingaWe kajamaa unajifanyaga shushushu wa soka.
Lakini kiukweli huo ni umbea.
Vipi mkataba ukija kuoneshwa mbeleni, labda ni kwa ajili ya mechi za ligi tu?
Utakimbia kama kawaida yako.
Shida ya kutanguliza mahaba kuliko akili ndio kama hii yako..Nenda kajifunze kwanza kuhusu kilichoandikwa na mtoa post ndo uje tena. Usije ukatufanya wote wajinga
Simba ilifka pale kwa sabab ya challenge ya corona kwenye ligi nyingDaaaaaaaa ndo swali la kuuliza kweli? Au umekalia utopolo. Yaani simba ya inakaa poti moja na Al Ahly afu unaulizwa swali kama ilo?
2018-2019 pia ilifika huko Kwa ajili ya Korona eti?Simba ilifka pale kwa sabab ya challenge ya corona kwenye ligi nying
level za simba kutolewa na ud songo
Ndio sababu wewe ni masikini. Hakuna biashara isiyo na wivu. IPhone na Samsung wanaoneana wivu ndio maana wanazidi kuwa na mafanikio.MO dewji automatically ana jealous sana na Azam Bakhresa kutokana na ile biashara wanazozifanya kwa kuingiliana hasa vinywaji
Wivu wa boss wenu Mo dewji wenu ni wa level za kichawi na kishirikinaNdio sababu wewe ni masikini. Hakuna biashara isiyo na wivu. IPhone na Samsung wanaoneana wivu ndio maana wanazidi kuwa na mafanikio.
Na hii ndio point kubwa ugomvi wao uko hapa simba na mashabiki wake wanataka kushirikishwa kwenye ugomvi wa kibiashara na unaweza kuiathiri simba maana azam anaenda kuimiliki ligi taratibu kupitia uwekezaji wake na anaweza kutumia hiyo kama njia ya kufanya payback kwa Mo kupitia simbaAzam na Mohamed Enterprises ni wapinzani wa kibiashara.
We kajamaa unajifanyaga shushushu wa soka.
Lakini kiukweli huo ni umbea.
Vipi mkataba ukija kuoneshwa mbeleni, labda ni kwa ajili ya mechi za ligi tu?
Utakimbia kama kawaida yako.