Kama mwanaume kikojozi unakosa mchumba soma hapa plz.

Mtaftaji

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
207
43
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo,mwanaume mwenye elimu kuanzia seco na kuendelea,awe na kazi,awe na tatizo la kukojoa kitandani bila kukusudia(kikojozi)anikubali na mapenzi ya dhati bila ubabaishaji.
 
Ndio ndg ni kikojozi but nahisi siwezi kupata furaha ktk mahusiano au ndoa kama sijapata mtu mwenye sifa kama yangu,nilipata mtu akanitolea posa sikusita kumueleza tatizo langu akasema amelikubali chakushangaza visa vimezidi mpaka sasa mwezi na wiki1 mpaka sasa hajapiga wala kunisms.huezi amini nandika huku machozi yananitoka inaniuma kumpa mtu siri yangu halafu anigeuke.
 
ndio nikikojozi.

Pole sana utapata tu wa kufanana nawe, ila mimi ninavyofahamu hiyo hali ya ukikojozi unaweza ukaacha/kupungua kwa kiasi kikubwa sana.
Fanya haya:
1. Acha kunywa maji
/bia/soda jioni kuanzia muda wa saa kumi, hadi kesho asubuhi ndio unaanza tena kunywa maji kwa wingi.
2. Jaribu hata kujiwekea alarm (iwe na sauti kubwa ambayo ni lazima tu utaamka) iwe inakuamsha usiku mara tano usiku kwa ajili ya wewe kuamka na kwenda kujisaidia. Ukizoea sana hali ya kuamka usiku mara kwa mara itakusaidia sanausikojoe mara kwa mara.
3. Muda wa usiku kula usishibe sana, usile sana matunda yenye majimaji muda wa usiku km matikiti maji au matango n.k, hayo matunda uwe unakula asubuhi/mchana tu.
4. Pia hutakiwi kuwa mvivu kwenye sekta ya usafi, ukiona siku hiyo umekojoa hakikisha unatoa Godoro nje likauke la sivyo kutanika sana huko chumbani pia ni lazima udeki kwa sabuni chumba kizima.
5. Kabla hujaenda kulala hakikisha umekojoa mkojo wote ulionao, usilale km wahisi una mkojo kibofuni mwako.
6. Usilale tumbo juu, muda wa usiku! Lala ubavu ubavu au kulalia tumbo.

Nahisi utafanikiwa tu!
 
Mbona dawa zipo?

Tatizo hilo lishawahi kujadiliwa hapa. Hebu search thread upate msaada.
 
Shukran kwa ushauri wk,ila unayoyatj cmageni kwng ilifikia ha2a mpk nakesha uck lkn ntkpofunga2 jicho lzm iyo hl itokee,na khs dawa nisha2mia nyingi sana waganga na wagaguzi wt nimefika,khs usafi naupenda kupita maeleze ukingia chmbani mwng huezi kugundua kwa ishara yyt,na2mia depers au plastic cover za kitanda,na naic ni mtihani mungu kanipa na namshkuru kwa ilo na hakunionea ksb yk mazuri mengi alon2nukia km uzuri,maadili na tabia njema,napendwa nawengi lkn hua nacta,naic nikiwamuazi kwa wanipendao yatanikt km yalonikta kwa hy mwanamme alonifanyia,suluhu naic nikpt m2 mwenye ttz km lng atalijua uzt wk kwakua na yy linamcbu 2taenda sawa.ishu nikwamba ntamjuaje?na je atakua na mpz ya dhati?
 
Please, may you edit this post of yours!!!!
I am not able to read and understand what you have written. Thank you!

Please, may you edit this post of yours!!!!
I am not able to read and understand what you have written. Thank you!

mpuuzi we! kwahiyo uvivu wako wa kufikiri umeishia hapa? umenikera sana mtu ana tatizo umemshauri anakuelezea then unajishaua ur not able to read n undastand, mbona toka mwanzo ulisoma ujumbe wake? mijitu mingine bwana. idiot!
 
Unaonekana na wewe ni kikojozi pia.[/QUOT.ndio nikikojozi.

pole mamii utapata kuna watu wana matatizo makubwa kuliko hayo na wamepata. so don be worry on dis. piga goti muombe mola pia maana ukute ni maroho yamekuingia. simama kwenye imani kikamilifu, funga, sadaka na maombi kwa ndugu jamaa waliotangulia(kufa). MUNGu yupo atakusaidia.
 
Kilichokufanya ushindwe kusm na kuelewa ni kipi?na nimeeka post kwa kisw cna maana kingereza cfaham la hasha ukiona nimeandika king nawe reply ktk lugha hy ukiona kisw nawe2mia kiswa.na hukuelewa k2gn nikuelekeze?maana ww ndo wknz kureply kwa kuniuliza ina mana nawe kikojozi nikakujb ndio sasa km post hukuielewa na "u are nt able 2read"uliulizaje ili swali?na ni kp una chotk kiwe editing?
 
Mbn hujb k2 gn hujaelewa ndg?ksb nashangaa sn umenipa ushauri kwa maandishi ya bluu hp juu,nasbr reply yk.
 
Unajua umu jf unaweza ukaboreka kwa mawazo ya m2,ila inaitaji subra,acha 2mcklz lbd kuna k2 hajaelewa.maana alinipa ushauri uko juu.
 
Shukran kwa ushauri wk,ila unayoyatj cmageni kwng ilifikia ha2a mpk nakesha uck lkn ntkpofunga2 jicho lzm iyo hl itokee,na khs dawa nisha2mia nyingi sana waganga na wagaguzi wt nimefika,khs usafi naupenda kupita maeleze ukingia chmbani mwng huezi kugundua kwa ishara yyt,na2mia depers au plastic cover za kitanda,na naic ni mtihani mungu kanipa na namshkuru kwa ilo na hakunionea ksb yk mazuri mengi alon2nukia km uzuri,maadili na tabia njema,napendwa nawengi lkn hua nacta,naic nikiwamuazi kwa wanipendao yatanikt km yalonikta kwa hy mwanamme alonifanyia,suluhu naic nikpt m2 mwenye ttz km lng atalijua uzt wk kwakua na yy linamcbu 2taenda sawa.ishu nikwamba ntamjuaje?na je atakua na mpz ya dhati?

Pole sana bibie kwa mtihani huo ulionao,ni heri kwako kwa kuwa umejikubali..lakini ningependa nikushauri ya kwamba pamoja na kuendelea kumtafuta huyo ambaye anafahamu adha ma madhila ya masahibu hayo bado usichoke kutafuta tiba.Hilo ni tatizo ambalo hapa chini ya jua tiba yake inawezekana kwa mapenzi ya Muumba mbingu na ardhi hivyo usijikatie tamaa kwa kuacha kusaka tiba....pole Mtaftaji mungu akupe faraja.
 
Kama likojo 2 hakuna shida sana tatizo mmh isijekua na nye juu
Ni wakati gani unaweza kuguswa na tatizo la binadamu mwenzio?....Assume haya aliyonayo mleta thread anayo dadiyo je ungethubutu kumjibu hivyo?...anyway ni haki yako kuandika haya hapa jf.

Similar Discussions

Back
Top Bottom