Kama Mwalimu angerudi leo hii...

he he he
nyerere akirudi leo...
atakufa kwa mshituko
jinsi nchi ilivyouzwa..
 
Itakuwa ni halali mzee kucharaza watu bakora na kuwaagiza kuwa wakawasimulie na wake zao kuwa Mwalimu ametuchapa leo Iku...
 
Naona hapo Mkapa kishapata fimbo zake na jk ndo anapata mgao wake, hivi anayefatia kwenye cartoon ni nani???, kwa nyuma ya huyo namwona lowasa na je wa mwisho ni kawawa??
Anayefuata kwenye katoon hii ni PM wetu, mheshimiwa Pinda
 
Nice cartoon!

Simwoni Kingunge kwenye foleni hiyo!

Kazirai ,kakimbizwa muhimbili,kuna uwezekano akajifia huko kabla ya kuonja bakora,ilikuwa aanze yeye kutokana na umri! baada ya kuzirai , ndiyo mzee akamwita Ben kuja hapa!!
 
ha ha haaaaaaaaa, sipati picha. Nimecheka mno. kwa kweli they all deserve viboko
 
Naona hapo Mkapa kishapata fimbo zake na jk ndo anapata mgao wake, hivi anayefatia kwenye cartoon ni nani???, kwa nyuma ya huyo namwona lowasa na je wa mwisho ni kawawa??

Malecela ha ha haaa.
 
Wow!! It is real funny, huyo mwingine wa 3 baada ya Lowassa ni askofu au? I wish Nyerere arudi aje kuwapa vichapo waliofisadi nchi.
 
Back
Top Bottom