Kama muungano na Wazanzibar unashindikana je wa East Africa utakuwaje??

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Dalili zote zinaonyesha wazi muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo ukingoni,je kama huu mdogo tumeshindwa utakuwaje huu wa East Africa??kuna umuhimu wa kukaa na kutafakari na kuamua kujiondoa East Africa kabla hatujafika mbali???kwa ni Sadc haitoshi tuu??
 
Back
Top Bottom