mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,411
- 7,016
Jumatatu iliyo nzuri.
Binafsi si date na mtu mwenye hulka za makundi makundi au mashosti. Nishapiga wengi sana chini as I realised ni watu wa makundi makundi!
Mwanamke organized hawezi kuwa na makundi ya kijinga, company za hovyo na za wastage of time. Nime dump wengi.
Mwanaume kama unajua mkeo ana sifa tajwa, umepigwa, 99% ya siri zako amevujisha kwa rafiki zake.
Kama una maumbile madogo, jua upo uchi umeshaanikwa.
Kama una kitambi kinachoziba maumbile yako, jua upo uchi umeshaanikwa.
Inaonekana watu mmeshatingwa na maisha hamjali tena kuhusu fedheha na aibu..!
Kuna mwanaume mwenzangu nilisikia akisemwa... mkewe akawa anasema ana mwezi hadindishi. Mwingine akachangia kuwa mumewe ni mchafu hajiheshimu, anajamba hovyo kama mtoto.
Wanawake wajinga wakikutana pamoja, huongea 90% upuuzi tupu. Adabu hakuna, heshima hakuna.
Wengine ni watu na nyadhifa zao na ni wa heshima ila nashuhudia wakisemwa. Aibu niliona mimi. Aisee hii salon yangu ya kike now nitakuwa naenda kila baada ya miezi sita. Nimechoka kusikiliza siri za wanaume wenzangu. Nitaongeza watu ili nipunguze uangalizi.
Aisee siku nitakayomuona au kugundua niliyenaye ana company za kipuuzi, ndiyo mwisho wake. Sitoomba ushauri wala kuuliza mara mbili.