Kama Michael Jackson asingejichubua angekuwa hivi

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69
michael-jackson+real.jpg
Kuna mtu alitumia programu ya kompyuta kupata picha ya kulia. Eti Michael
angekuwa hivyo kama asingetumia plastiki surgery na kujikrimu.

 
tatizo la hii simulation ni kuwa Michael Jackson alikuwa hali chakula lakini huyu imposter aelekea anapakia ugali kiusawasawa............
 
Picha ya kushoto ni kituko kwa kweli. Sipati akiwa hajabandika hiyo pua anakuwaje.
 
View attachment 29865
Kuna mtu alitumia programu ya kompyuta kupata picha ya kulia. Eti Michael
angekuwa hivyo kama asingetumia plastiki surgery na kujikrimu.


Michael Jackson hakuwa vile kwa kupenda, ni madhara aliyoyapata baada ya kuungua wakati ikishiriki tangazo la PEPSI, baada ya kuharibika nywele na ngozi ikabidi afanyiwe operation na avae wigi, hivyo ndivyo ninavyofahamu na ninafikiri ni kweli. RIP MJ!!!
 
michael_jackson-11.jpg


Pua ni BAPA kutokana na madhara ya kubebwa mgongoni. Huyu aliamua kuikimbia pua yake.
 
Back
Top Bottom