Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,320
- 105,727
Unauliza swali au jibu? Lowasa ni rais wa Jmt
Kwa uchaguzi alioshinda lini?
Unauliza swali au jibu? Lowasa ni rais wa Jmt
Jisaidie nami nitakusaidia. Hayo ni maneno toka katika vitabu vitakatifu.
Kitabu gani na sura ya ngapi?
Labda alitumia pesa KUTABIRIWA!
Mmasai anapika propaganda. TB Joshua alishasema, hamjui Lowassa na hajamtabiria urais 2015
Hakuna kitu km hicho!hajawahi kutabiriwa,huo ni uongo.....msiharibu bure sifa ya joshua