Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda tb Joshua walifika wakasema mbona ulisema lowasa atakuwa rais alaf akakatwa? Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku lowasa anajiunga na chadema peplessssssssssssssssssss

Thread nyingine bhana, dah uvumilivu unahitajika...huyo jushua kama yeye ni nabii anashindwaje kutatua matatizo yaliopo huko nigeria hadi raisi Buhari anaenda kuomba msaada Marekani, kumbe nabii yupo inakuaje anashindwa kutatua? Acheni ujinga bhana
 
huu ni ujinga wa hali ya juu kumtegemea mtu, alafu bila aibu unakuja jinadi hapa eti kasema TB J. kwanui ye nani
 
Mkuu huyo Joshua angekuwa mkali jengo lake lisinge poromoka na kuua waumini lukuki!! Kwa nini hakuweza kutabiri in advance what was coming kwenye nyumba yake ya ibada?

Hatabiri kwa mapenzi yake,wala akili yake bali kwa Roho ya Bwana......hata hivyo kwenye bible tunawaona mitume wengi tu walijaribiwa haimaanishi ni Mungu hawapendi but sometime Mungu anaruhusu wajaribiwe kwa ajili ya utukufu wake.
 
Kweli kabisa, na ndo ilivyokuwa
 
Mkuu huyo Joshua angekuwa mkali jengo lake lisinge poromoka na kuua waumini lukuki!! Kwa nini hakuweza kutabiri in advance what was coming kwenye nyumba yake ya ibada?

Angetabiri vipi jengo kuporomoka wakati hakuna aliyejotokeza kuonba utabiri wa hilo jengo?
 
Huo utabiri wa huyo baba mchungaji nauunga mkono kwa 100% na naomba mchango huu uingizwe kwenye hansard moja kwa moja.
 
Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa?

Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA peplessssssssssssssssssss.
masikhara haya ..
 
Back
Top Bottom