Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Hata Mzee Sabodo alikwishasema anatarajia kuuona upinzani ukiwa madarakani kabla hajafa!
 
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.

Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.
Siwapendi CCM lakini kilichonisononesha kwa CHADEMA ndiyo hii, bado najitafakari hatima yangu ndani ya siasa ya Tanzania. Naomba wafuasi wangu mniunge mkono
 
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.

Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.

Wewe Hutaki Uhuru? Maana Nchi ina miaka zaidi ya Hamsini lakini Haijiwezi... ndio uhuru huo? Inatosha Lakini CCM tunaipenda na Tuliipenda lakini we need Changes Hilo Genge liondoke kwanza... watu waheshimiane... maana Kumekuwa na Miungu Mtu.. pale tu Unapokuwepo ndani ya Chama... Mtizame Nchmbi yaani anatia Huruma kuliko Maelezo...
 
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.

Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.

Na wewe unavyopenda udini utafikiri chadema walikubaka jinsi ulivyo na hasira na Chadema
 
Acha uongo wewe, TB Joshua mbabaishaji tu na mcheza bahati nasibu, aliwaombea wote Lowassa, Magufuli na Mwigulu walipokwenda kwake, ili kubahatisha!!!!!! OVYOOOOOOOOO!!!!!! TB Joshua mwuaji ameua watu mia, na mahakama Nigeria imemuona ana kesi ya kujibu. Afrika Kusini walioathirika kwa raia wake wengi kuuawa kwa Joshua, wamesema akikanyaga tu Afrika Kusini, anatiwa ndani na kufunguliwa kesi ya mauaji. Tunampenda Lowassa, lakini usituletee mambo ya tapeli Joshua hapa.
 
Ni vizuri tujifunze kutokua wasemaji wa tusivyovijua. Yu na heri akilindaye kinywa chake.
Acha uongo wewe, TB Joshua mbabaishaji tu na mcheza bahati nasibu, aliwaombea wote Lowassa, Magufuli na Mwigulu walipokwenda kwake, ili kubahatisha!!!!!! OVYOOOOOOOOO!!!!!! TB Joshua mwuaji ameua watu mia, na mahakama Nigeria imemuona ana kesi ya kujibu. Afrika Kusini walioathirika kwa raia wake wengi kuuawa kwa Joshua, wamesema akikanyaga tu Afrika Kusini, anatiwa ndani na kufunguliwa kesi ya mauaji. Tunampenda Lowassa, lakini usituletee mambo ya tapeli Joshua hapa.
 
CCM wala hatuna mashaka, tulipomtema tulijuwa matatizo yake, na hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atamchaguwa.

Simshangai Lowasa, Lowasa ni mfa maji haishi kutapatapa, nnamshangaa Mbowe aliyekula matapishi yake.

Hujambo bibiye! Karibu Arusha ukapumzike kidogo!
 
Acha uongo wewe, TB Joshua mbabaishaji tu na mcheza bahati nasibu, aliwaombea wote Lowassa, Magufuli na Mwigulu walipokwenda kwake, ili kubahatisha!!!!!! OVYOOOOOOOOO!!!!!! TB Joshua mwuaji ameua watu mia, na mahakama Nigeria imemuona ana kesi ya kujibu. Afrika Kusini walioathirika kwa raia wake wengi kuuawa kwa Joshua, wamesema akikanyaga tu Afrika Kusini, anatiwa ndani na kufunguliwa kesi ya mauaji. Tunampenda Lowassa, lakini usituletee mambo ya tapeli Joshua hapa.

Ole wake amneneaye mabaya mtumishi wa Mungu

Ni bora kukaa kimya kama kitu hukijui..

Mwache Mungu amhukumu TB Joshua kwan wewe huna mamlaka hayo

Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki CDM
 
Na wewe unavyopenda udini utafikiri chadema walikubaka jinsi ulivyo na hasira na Chadema

KApatikana sana Mwaka huu Maana mgombea wake this time ni Mkristo tena wale wala ile Kiti Motoz... sijui atajifichia wapi... na ndio hadi miaka kumi akipita
 
Back
Top Bottom