Kama kwenu ni chunya unajisikiaje?

semako

Senior Member
Nov 10, 2011
102
6
Hebu fikiria mwaka 2000 Njelu Kasaka (MB) enzi hizo alikuja shuleni CHUSECO akasema barabara ya chunya mbeya itajengwa kwa rami mara moja.sasa wewe mkaz wa chunya na mpenda maendeleo ubabaishaji huu utaendelea mpaka lini?Leo mchina amejaza uchafu barabarani,nauli juu,jamani wakaz wa chunya hayo sio maisha hiyo barabara inasubiri uchaguzi 2015.Chukua hatua
 
ile bara bara cjui itawekwa lami lini mi naona miaka inazidi kwenda tuu hakuna kinachofanyika porojo nyingi utekelezaji hakuna.
 
Usiseme Chunya we sema kama wewe ni mtanzania unajisikiaje kuitwa Mtanzania hasa baada ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika,usisahau kesho utakuwepo pale uwanjani ukishangilia ngoma na kuangalia gwaride
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom