kama kuoga ni usafi kwa nini taulo huchafuka?

gongotamu

Member
Nov 11, 2010
20
1
habari wana jf. naombeni msaada wa kitaalamu kuhusu usafi wa mwili. huwa najiuliza sana. kama kuoga ni usafi, taulo huchafuliwa na nini? watalaam wa afya watupe majibu ya kitalaam
 
Hapo ni mambo mawili aidha ujakoga vizuri, au wakati mwingine kile unacho kiona kuwa ni uchafu kwenye taulo lako ni dead skin.
 
mkuu ina maana wewe hufui taulo lako? kama unafua uchafu unatoka wapi ilhali umeoga ili uwe safi?

I think ni kwa sababu tu tumeumbwa kutoka kwa udongo (aacording to the Bible) and our bodies emmits uchafu 24hrs a day.
 
Soma vizuri nilicho andika!
 
Back
Top Bottom