Kwanza huu mradi serekali ina ubia. Pili tunazungumzia uhai wa watu kwa vile lolote linaweza kutokea kama hakuna improvement. Mwezi ulipotita watendaji wamewekwa rumande kwa kuzidisha watu kwenye mv Nyerere sasa hili suala la mwendokasi mbona dalili za janga zipo wazi? Tunangojea kutuma rambi rambi na kurundika watu ndani.mleta mada mzee wa matukio naona ushapata pa kukesha kuongelea.Huo mradi unaendeshwa Na mtu binafsi.Wewe ukiagiza gari si unalipa kodi? Hata uagize magari Mia mbili.Eti Hela anapata kodi ya kulipia magari bandarini hana!!!!!!mmmmmmm
Tatu serekali imefaidi nini kwa kuzuia magari ya mwendokasi kwa karibu miezi 10 sasa? Wangeweza kuruhusiwa kutoa magari ili walipe kodi kwa makubaliano. Hii ingeingiza mapato kwa serekali na vile vile watumiaji wa huu usafiri wangelikuwa more productive hivyo kulipa kodi zaidi badala ya kupoteza muda vituoni. Kumbuka kuwa hata sasa hivi serekali imetoa nafasi kwa wanaodaiwa kodi kuja na mpango wa kulipa hivyo hili suala mabasi mapya kuzuiliwa ni la utashi wa kisiasa tu.