Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

usifanye hivyo, yakupasa kuwa mvumilivu coz kila mwanadamu anamapungufu yake. bado mapema kugive up. ndo maana nikakuomba umuingize ukubwani. Excellent hajajua hata wivu ni nini so msamehe bure. mia
mwache akue kwanza, na mimi niendelee na wakubwa wezangu naona huyu atanisumbua, kila akiona mwanamke mrembo atataka ajaribu maana hajajaribu, kisa cha kufa na pressure! akhaaa
 
Back
Top Bottom