Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamani nampenda King'asti, King'asti kama kweli unampenda Paw mwambie anipe ban ya mwaka nihakikishe kwa macho yangu Paw kama upo tayari kutumia cheo chako cha mod kuniban basi poa tu nipe ban
King'asti najua
1.utamsifia Paw
2.itakuchukua mda kureply hi thread.
3.unaweza usinijibu

@Cacio jamani naomba mwambie King'asti nampenda sana. charming Lady jamani nampenda King'asti Bujibuji naomba uwe mshenga. Nicas Mtei nibembelezee nampenda kweli huyu mrembo
fwmdq3850115-02.jpg
Paw kama kweli unampenda king'asti naomba upoteze jina la Excy humu JF...usipofanya hivo huna upendo wa kweli kwa King'asti.
 
Last edited by a moderator:
Love isn't a decision, it's a feeling. If we could decide who to love, then, life would be much simpler, but then less magical.
I love you King'asti bby,give me ur love mana nipo in love na wewe
 
Last edited by a moderator:
Halafu King'asti anamsemaga Roulette hatongozeki,
Ngoja nawe leo nikusikilizie!LOL
Kipipi yani King'asti ananionea kwa vile anajua nampenda,bby King'asti sina ubishi,mi nataka tu kuwa na wewe,hasa pale unaponipa ushauri,halafu na mimi nakupa ushauri,usipokubalina nakubaliana ,jua kiss cha umpendaye ni raha ya mda ila mi nitakupa zote.Unapolalamika natibu jeraha zako,nakuangalia machoni ukiwa na huzuni nakukumbatia,nakuangalia machoni King'asti we ni kama wimbo wangu bby,nipo serious,unaweza usiniamini ila nataka nikupulize manukato
yenyewe harufu tamu,utanitosa na kusikiliza uzushi wao,wakikutenda wala usiogope,mi nipo ambaye ni Alfa na Omega,nakupenda King'asti.
 
Mwanangu unamashairi utadhani Marijani Rajabu! Tiririkaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, sasa hayo mashairi hayakuti ya Paw! Unajua Paw ana undugu na mrisho mpoto¿
Mwanangu unamashairi utadhani Marijani Rajabu! Tiririkaaaaaa!

hapa nimeshaanza kufunga na kuomba kwa ajili yake. Kuna roho la ukimwi linamsakama. Hajaleta zaka tu.
Hajui wewe umeokoka na unampenda sana Yesu, muombee kwa Bwana Yesu pepo hilo limtoke tehe tehe. Mzima lakini King'asti wa watu????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom