Kama Kikwete atakuwa bado ni Rais 2015, nchi itaingia vitani

Ushukuriwe ndugu kumchaya. Inaonekana wewe unaushaidi wa kutosha juu ya ugaidi wa akina Rwekatare na cdm. Je si usaidie kuleta kuwapa ushahidi akina Mwema ili wakamilishe kazi!.
 
Wewe ni mpumbavu sana,mngese mkubwa we!Jk anaipeleka Tz ktk machafuko makubwa mno,na amini usiamini,wewe na familia yako mtakua wakimbizi kama si kuuwawa,Inashangaza kuona watu kama nyinyi kwa kuendekeza njaa mnakubali vi posho vya sh 7000 kuisafisha ccm mitandaoni na wengine wakitumiwa kwa kuwaangamiza watz wenzao kwa kuwarushia mabomu ktk mikutano ya upinzani.Kiama chenu hakiko mbali wangese wakubwa nyie!
Hiyo vita ikianza unafikiri ni kina nani watakao kimbia nchi? Acha mkwara mbuzi wewe. Kaa ukijua kuwa hiyo vita ikitokea ni maskini kama wewe ndio utakaye athirika. Sio mimi wala JK wala Mbowe.
 
Hiyo vita ikianza
unafikiri ni kina nani watakao kimbia nchi? Acha mkwara mbuzi wewe. Kaa
ukijua kuwa hiyo vita ikitokea ni maskini kama wewe ndio utakaye
athirika. Sio mimi wala JK wala Mbowe.

sure mkuu. kuna watu wapumbavu sana kila kukicha hushabikia vita kana kwamba ni kitu cha kawaida. wanasahau kuwa watakaoteseka ni wanawake na watoto ambao wengi wao hawana uwezo wa kukimbia vita
 
Ushukuriwe ndugu
kumchaya. Inaonekana wewe unaushaidi wa kutosha juu ya ugaidi wa akina
Rwekatare na cdm. Je si usaidie kuleta kuwapa ushahidi akina Mwema ili
wakamilishe kazi!.

nakuunga mkono. chadema wanajua mambo mengi yanayohusiana na ugaidi wa arusha
 
Ndugu Lukolo, umeandika kwa uchungu sana uchungu ambo kila mtanzania bila kujali ni wa chama gani ilimradi ana akili timamu na uchungu wa nchi yake Tanzania, anauhisi kwa kipimo ulichoonesha. Nikuombe tu ni bora kufikiria jambo jingine kuliko kufikiria kuelekeza maswali yako kwa JK; kwani hata yeye mwenyeywe anajua kwamba nchi imemshinda! Ushauri wangu ni kwamba angejiuzuru tu ili apate heshima kama rais mwafrika aliyeonesha uwajibikaji
 
ifike mahali wanasiasa na ninyi wafuas wa vyama vya siasa mjue kuwa sio kila mtanzania ni shabik wa siasa,damu arusha imemwagika ni vibaya sana,tanzania sio chadema tanzania ni tanzania.TAFAKARI!
 
Hiyo vita ikianza unafikiri ni kina nani watakao kimbia nchi? Acha mkwara mbuzi wewe. Kaa ukijua kuwa hiyo vita ikitokea ni maskini kama wewe ndio utakaye athirika. Sio mimi wala JK wala Mbowe.

sure mkuu. kuna watu wapumbavu sana kila kukicha hushabikia vita kana kwamba ni kitu cha kawaida. wanasahau kuwa watakaoteseka ni wanawake na watoto ambao wengi wao hawana uwezo wa kukimbia vita
Hii ndiyo akili ya wanaCCM wote, wanajua kwamba hawataathirika na vita ndiyo maana wapo tayari kuchochea chuki kati ya watanzania walioishi kiundugu kwa miaka na miaka, ilimradi tu wachukiane wapigane wauane halafu nyie mwisho wa siku mkimbie nchi na kuwaacha wakifa nchini. Mmeingiza udini, ukabila na kila aina za chuki na sasa mmefikia kwenye kujenga chuki za kivyama. Hivi kweli ina maana CCM hamna hata tone la ubinadamu nyie watu? Mbona hamuwahurumii hivyo watanzania maskini wasiojiweza hawa?
 
Ulichoongea mkuu kina ukweli wa asilimia 100,hata mtoto aliyeko chekechea hatashindwa kujua kuwa haya mauaji holela ya raia wasio na hatia,yanakuwa initiated na JK,mwenyewe akiwa ndiye Amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,na hiyo ndiyo siri pekee inayofanya jeshi la polisi lishindwe kuwachukulia hatua wahalifu,kwa kuwa linapigwa STOP na JK mwenyewe.

Kwa maana hiyo watanzania wote kwa sasa lazima tutambue kuwa Taifa linapitia katika kipindi kigimu sana,ambacho hakijawahi kutokea,tokea uumbwaji wa dunia hii.

Kwa hiyo kipindi tunachopita sasa ni kipindi ambacho watanzania tuna option 2 tu,ambazo ni DO or DIE.

Nikiwa na maana vyombo vyote vya habari,viongozi wote wa dini mbalimbali,wanaharakati,na watanzania wote kwa ujumla wetu,kumtaja bila kificho JK kuwa ndiye anayetaka kulifanya Taifa hili kuwa kama Syria.

Kama watanzania wote tutashindwa kulifanya hilo,hakika Taifa hili linaelekea kwenye maangamizi makubwa,na hilo linaweza kutokea very soon,kama alivyoeleza mleta post,it can be before 2015!!!
Viashiria ni vingi mno kwamba nchi inaelelekea vitani sasa? Na kwa hakika imeshamshinda Kikwete. How comes, nchi ambayo haikuwahi kabisa kuwa na historia ya mauaji yenye sura ya udini kuanza kujitokeza sasa? Nchi ambayo haikuwahi kuwa na historia ya watu kuuawa kwa mabomu kuanza kufa kwa mabomu leo? Nchi tuliyoshuhudia uchaguzi wa vyama vingi mgumu kabisa wa mwaka 1995 ukifanyika kwa amani na utulivu, ni kwa vipi leo ambapo tayari tuna uzoefu na vyama vingi tunaanza kuuana, kupigana, kutekana na kuumizana? Tatizo ni Kikwete na si mwingine. Ni Kikwete tu. Hana uwezo wa kuongoza nchi. Tuseme wote kwa sauti kuu. Huyu ndiye adui mkubwa wa watanzania.
 
Uhuru tunaoupata kwenye urais wa kikwete tusiutumie vibaya..

Ukimya wa kikwete unawatia kikwewe hadi kumuona hawezi kazi...but kiukweli hakuna rais muungwana kama jk..mdemokrasia na muwazi kwa kila kitu.furahieni demokrasia ndani ya uongozi wa kikwete
Who told you kwamba tunataka uhuru wenye kumwaga damu? Kikwete si rais wa kwanza kuongoza nchi katika mfumo wa vyama vingi. Alianza Mwinyi mwaka 1995, katika uchaguzi wa vyama vingi uliokuwa mgumu kupita kiasi lakini hatukusikia watu wakiuana wala kuumizana. Amekuja Mkapa, ambaye ameongoza chaguzi mbili kwa amani ukiachilia mbali wazanzibar waliokufa baada ya uchaguzi. Sasa yeye Kikwete chaguzi hata hizi ndogo tu za madiwani na wabunge tunasikia mara watu wamemwagiwa tindikali, watu wamekufa; kwenye mikutano ya chadema tu polisi wanaua watu kila siku na hakuna polisi anayefukuzwa kazi wala kushitakiwa. JAMANI WALE WANAOKUFA SIYO PANYA KIASI CHA KUWAFUKIA TU NA KUWASAHAU. NI WATU WALE, WANA FAMILIA, WANA NDUGU WENYE UCHUNGU, IPO SIKU WATACHUKUA MAPANGA NA KUFANYA MALIPIZI JUU YA VIFO VYA NDUGU ZAO. OGOPENI VITA KATI YA WATU WA JAMII MOJA, HIVI WEWE MGENI UTAENDA KUIAMUA VIPI? Maana kumbukeni kwamba hawa wanaouana na kupigana na kuteseana wanaishi vijiji vimoja. Hivi hawa CHADEMA wanaoteswa na kuumizwa hivi wakiamua kujibu itakuwaje? Au mnatafuta sababu ya kusingizia kwamba CHADEMA chama cha vurugu?
 
Mjilipue wenyewe kisha uanzishe thread ya mashambulizi kwa jk, ugaidi wenu anaopanga lwakatare ndio upo mchezoni sasa,hakuna nchi inayoweza kulinda raia wake kila dk na kila second,haya mambo tumeanza kuyaona toka cdm walipopewa support na kundi fulan la kiimani, wanajaribu ku subortage utawala uonekane haufai......,ni upumbavu kupata umaarufu kupitia vifo vya watu amini nawaambia siku ya malipo tutaficha sura kwa aibu ya udhihirisho wa yote haya

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
SOma vizuri thread yangu. Nimeuliza kama serikali ndiyo yenye jukumu la kulinda uhai na usalama wa watanzania na mali zao, halafu CHADEMA isiyo na hata mgambo tu inaweza kupanga mauaji yote haya, yanayogharimu uhai wa watanzania, je uhalali wa hiyo serikali kuwa madarakani upo wapi? Serikali isiyoweza hata kuwathibiti CHADEMA, watu wasio na hata mgambo, huku yenyewe ikiwa imejaa inteligensia nchi nzima, inawezaje bila aibu kusimama mbele za watu na kusema chadema wanaua watu na isiweze kuwakamata?
Hata kwenye mikutano ya CHADEMA mlikuwa mnafanya hivyo hivyo, mnapiga watu risasi, halafu mnasema kitu chenye ncha kali ndiyo kimeua. Picha za mnato za mauaji ya mwangosi zikawaumbua, baada ya kujaribu kuudanganya umma kwamba kitu kama bomu kilirushwa kutoka kwa Raia. Haya mambo hayatapita bure mjue. Kama siyo ninyi basi watoto wenu watakuja wazilipie damu hizi za watanzania.
 
Wewe ni mpumbavu sana,mngese mkubwa we!Jk anaipeleka Tz ktk machafuko makubwa mno,na amini usiamini,wewe na familia yako mtakua wakimbizi kama si kuuwawa,Inashangaza kuona watu kama nyinyi kwa kuendekeza njaa mnakubali vi posho vya sh 7000 kuisafisha ccm mitandaoni na wengine wakitumiwa kwa kuwaangamiza watz wenzao kwa kuwarushia mabomu ktk mikutano ya upinzani.Kiama chenu hakiko mbali wangese wakubwa nyie!

Yaani huyo ana akili za kuku kudonoa pumba na za kuvaa ch*pi tu,, inawezekana hata hio 7000 hapewi
 
Ndugu Lukolo, umeandika kwa uchungu sana uchungu ambo kila mtanzania bila kujali ni wa chama gani ilimradi ana akili timamu na uchungu wa nchi yake Tanzania, anauhisi kwa kipimo ulichoonesha. Nikuombe tu ni bora kufikiria jambo jingine kuliko kufikiria kuelekeza maswali yako kwa JK; kwani hata yeye mwenyeywe anajua kwamba nchi imemshinda! Ushauri wangu ni kwamba angejiuzuru tu ili apate heshima kama rais mwafrika aliyeonesha uwajibikaji

Mie ni mpenzi wa vyama vya Upinzani hususani vyama bora kama CHADEMA....ILA sipendi Rais ajiuzulu wala aondoke madarakani kwa aibu ya kujitakia!
Mimi namshauri Rais achukue hatua stahiki kwa matukio yote yanayodhalilisha utu na hasa waliofanyiwa, wanayofanyiwa na wanayoendelea kufanyiwa viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani wakati na kabla hajaingia madarakani!
Amani ya nchi inaweza kurejea ikiwa Rais atawapuuza washauri wake akiwemo Wassira na wafuasi wake kama Mwigulu Nchemba!
Nna uhakika akifanya hivyo,ataungwa mkono na watu wengi tunaopoteza imani naye!
 
Ni mtu mjinga ndiye anayeweza kucheka na kusema jambo hili ni la CHADEMA. Nadhani inabidi ifike sehemu tukae na kuangalia mstakabali wetu kama taifa! Nchi haitakiwi kuongozwa kisanii au kuendelea mulinda mtu incompetent kama Mwema kwa sababu tuu ni shemeji. Mpaka leo hatujui ni nani aliyepiga bomu kwenye lile kanisa? Na vile vile serikali inabidi ituambie kama kuna uwiano wowote kati ya bomu hili la lile lilorushwa kwenye kanisa. Wakale walisema waoishi kwenye nyumba ya vioo wasiwarushie wengine mawe. Viongozi wa CCM lazima wajue ya kuwa wao pia wana familia zao na hawataweza kutoa ulinzi kila siku. Kwa hiyo ni muhimu kwao pia kuliangalia hili suala katika uwigo upana upana kwa kuanza kuondoa mbegu za chuki zinazojengwa na kina Mwigulu na Nape. Siasa za hawa mabwana zinaigawa nchi yetu na zinajenga mbegu mbaya za chuki. CCM inaweza kushinda hizi batlle but it will definitely lose the war.
 
jiulize tu kwanini Obama analindwa kuliko kiumbe yeyote yule duniani,ndo utapata jibu kuwa thamani ya obama iko juu kuliko watu bilioni sita wa dunia hii .
Jaribu kufyatua risasi kwenye mkutano wa obama hata usipompata uone reaction itakayotokea.
Ulichoongea hapa hakina msingi hata kidogo, Mwenyezi Mungu alituumba na kutuleta duniani akatoa amri ya kuwa usiue.

alipotoa amri hiyo, hakuelekeza kuwa baadhi ya watu wana haki zaidi ya kuishi, na wengine wakipoteza maisha, it is not an issue.
 
Ulichoongea hapa hakina msingi hata kidogo, Mwenyezi Mungu alituumba na kutuleta duniani akatoa amri ya kuwa usiue.

alipotoa amri hiyo, hakuelekeza kuwa baadhi ya watu wana haki zaidi ya kuishi, na wengine wakipoteza maisha, it is not an issue.
Hii nchi ina watu wa ajabu sana. Yaani kwao thamani ya mtu mmoja ni kubwa zaidi kushinda thamani ya maelfu ya watu wasio na hatia. Tutawatofautishaje hawa na wale masultani waliokuwa wanawachukua waafrika kwenda utumwani? Tutawatofautishaje hawa na wakoloni ambalo walikuwa wanawaua ndugu zetu kwa ajili ya kulazimisha waitawale Afrika? Napata shida sana kuyaelewa haya mambo na hata kuwaelewa hawa watu ambao kucha kuchwa wapo makanisani na misikitini yet wanaua watu kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom