Kama kawa kijana kwa ugeni naja! Hi!

Saidy

New Member
Aug 19, 2011
4
0
Niaje members? Ni kijana mdogo tu wala msihofu ctawafunika wala nini! Mko aje?
 
kama ni mdogo nenda shule kwanza kasome na ukue ndo uje humu
ila wasiliana na invisible akupe masharti ya humu
 
karibu,.........................uwe mdogo au mkubwa,...........kijana au mzee....................yote kheri karibu tuu
 
kama ni mdogo nenda shule kwanza kasome na ukue ndo uje humu<br />
ila wasiliana na invisible akupe masharti ya humu
<br />
<br />
huku hakuna bongofleva, huku lazma shule iwepo kichwa. Dogo aende shule.
 
kama ni mdogo nenda shule kwanza kasome na ukue ndo uje humu
ila wasiliana na invisible akupe masharti ya humu

Mr. Rocky hiyo nimeipenda, hawa watoto wanakimbia shule wanakuja na thread zao zinazonuka utoto. NWY karibu dogo tukutumetume.
 
Back
Top Bottom