"Kama Judge Warioba hataki mashinikizo basi ajiuzuru".Deusi Kibamba.

Mkwanda

Senior Member
Apr 6, 2012
123
14
Akizungumza kupitia ITV habari amesema,Mh jaji Warioba hapaswi kuzuia watu wasijadili kile wanachoona kinapaswa kujadiliwa kama maswala ya muungano na haki za kila kada ndani ya jamii.
 
Policcm hawatamkata kwa kauli ya uchochezi?Nape agenda nyingine ya kutokea hiyo hapo.
 
Ni kweli Jaji amesema hataki mashinikizo!sasa maana yake hataki watu waweke wazi madai yao ikiwemo muungano??kazi itamshinda hata kabla hajaanza!!!mashinikizo lazima sana maana tuna mambo mengi sana mje mtayajua!!
 
Back
Top Bottom