Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Sep 12, 2010 #1 Je ni kweli KIKWETE ni mwajiri mkuu, kama ndiyo kama alivyodai mbona anatuomba kazi...
Kiranga Platinum Member Jan 29, 2009 71,277 105,478 Sep 12, 2010 #2 Pengine anawaomba kazi ya kuwa muajiri mkuu !