Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 710
- 1,559
Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau.
Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo.
Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote.
Lakini kama issue ilikuwa ni kuiwini Ile Kanda pendwa alitakiwa mtu mwenye ushawishi mkubwa Kariba ya Mpina