Kama ingekutokea wewe ungefanyeje?

Kundasenyi

Member
Apr 11, 2011
58
2
Salaam wakuu kuna kisa kimenitoke ila nakosa namnaya kukikabili, Nina mpenzi wangu nipo nae huu mwezi wa 9 sasa, yeye yupo moshi mimi nipo arusha maranyingine yeye huja arusha na mimi kwenda moshi, kamliza masomo yake ila bado hajapata kazi yupo nyumbani umri ana 21yrs... Sasa jana kanipigia simu kuwa baba yake mdogo alimuazimisha simu ndipo akakuta msg yangu kwenye simu yake, baada yakuona hyo msg baba mdogo akaenda kumwambia kaka yake ambae ndio baba yake na mpenzi wangu. Baba akakasirika na kumwita alipomuuliza akajibu mimi ni rafiki yake ambae tulisoma pamoja, kutokana na hiyo msg kutokudhihirisha wazi kama mimi ni mpezi wake ikabidi wa mwache. Sasa leo asubuhi kaniambia kuwa amesikia tetesi kuwa baba yake mdogo amesema atanipigia simu naatajifanya yeye ni mpenzi wake kwahiyo mtu akinipigia simu na kuniuliza kuhusu yeye nimjibu kuwa mimi ni rafiki yake tuliesoma wote.. TATIZO nilishapataga tetesi kuwa huyu binti ana mwanaume mwingine ila sijamuuliza kwakuwa nilikuwa bado nakusanya ushahidi. WASIWASI huenda huyo mwanaume ndio aliekamata hiyo msg na akamletea noma, sasa huyu binti anataka kutuliza noma asimkose huyo mwanaume na asinipoteze mimi ndio maana akawahi kuni set, na namba zahuyo jamaa kanipa pamoja na jina. Je, nifanyeje iliniujue ukweli?? msaada wanajf
 
kwa nini ule msosi unaoutilia mashaka wakati migahawa kibao??
mimi naona shida unaitaka mwenyewe
 
Duh!!!
Na wewe umuulize huyo mpigaji anakuuliza kama nani!Akikujibu kwa jeuri jua imekula kwako!
 
kwa nini ule msosi unaoutilia mashaka wakati migahawa kibao??
mimi naona shida unaitaka mwenyewe
sikiza merytina tatizo sio kuchapa lapa bali nadhani napaswa kuwa na vigezo toshelevu kabla sijamwacha. Ila thx kwa ushauri wako
 
simple!
si una namba ya huto so called 'bamdogo' pamoja na jina
mpigie simu kwa namba nyingina tofauti na unayotumia wewe then jidai umatafuta mzee
(taja jina la ukoo wa binti),obviou kama ni bwanaake atakataa na kama kweli ni babake atakubali
 
Since you do not know what's going on yet. Ili kuepuka ugomvi au kumuharibia mwezio, I'd say just go ahead with the plan as per your girlfriend's advise. However, note down the number, and wait for a day or two after the call and have someone call the number amuulizie huyo baba mdogo.
 
simple!
si una namba ya huto so called 'bamdogo' pamoja na jina
mpigie simu kwa namba nyingina tofauti na unayotumia wewe then jidai umatafuta mzee
(taja jina la ukoo wa binti),obviou kama ni bwanaake atakataa na kama kweli ni babake atakubali

Thanx nitajaribu ushauri wako. Maana kichwa kilikuwa kime ganda
 
Nimeishiwa mwenzangu! masuala ya mapenzi magumu sana kuyachangia asee!
 
Since you do not know what's going on yet. Ili kuepuka ugomvi au kumuharibia mwezio, I'd say just go ahead with the plan as per your girlfriend's advise. However, note down the number, and wait for a day or two after the call and have someone call the number amuulizie huyo baba mdogo.

Thanx nemo, coz ntakuwa sina uhakika kama ni bwanaake au kweli ni baba mdogo so ntatumia ushauri wako
 
kuna kizuizi gani cha wewe kujulikana kuwa ni mpenzi wake na unategemea kumwoa maana ameshamaliza chuo ni mtuii akili mzima huyo na anatarajia kuolewa sasa,kusema ni baba mdogo bado haiingii akilini.
 
Duu mapenzi bana yaani wakati mwingine mzaha mzaha tu.....maana hujui ndo unategwa au...... Huyo baba mdogo hana issue serious za kufuatilia! !!
 
Nashindwa la kufanya coz naweza kusema ni siompenzi wangu kumbe ninae mwambia ni huyo bwanaake, naweza ni mpenzi wangu kumbe ukutekweli ni baba mtu au baba mdogo... Kuhusu kutambuliwa na wazazi tulipanga tufanye hivyo mwakani mwez wa 3. Baba yake na mfahamu kwa kumwona ila yeye hanijui. Ni binti pekee kwnye familia yao so anapendwa sana.. Niliwaza nimpigie simu huyo bamdogo then tukutane nae mimi binti pamoja na bamdogo nijaribu kumwambia ukweli kuwa sisi ni wapenzi na tuna mipango ya kuoana, je binti akikataa sintakuwa na haki yaku aminikuwa ananichezea mchezo! hapo mnaonaje?
 
piga chini huyo, anakuzingua tu. umeona wapi baba mtu anafanya hyo kitu? hyo ni njemba yake anataka kukubabaisha tu.
 
wewe ukipigiwa simu kubali kuwa ndio mpenzi wake, mapenzi ya kufichaficha ni ya kizamani.....miaka 21 mbona ni mtu mzima mwenye maamuzi sahihi.....we kubali mwisho wa siku si watakujua tu (kama na wewe una nia nzuri na binti)......kwa nini huyo binti nae anaogopa?....stuka ndugu
 
wewe ukipigiwa simu kubali kuwa ndio mpenzi wake, mapenzi ya kufichaficha ni ya kizamani.....miaka 21 mbona ni mtu mzima mwenye maamuzi sahihi.....we kubali mwisho wa siku si watakujua tu (kama na wewe una nia nzuri na binti)......kwa nini huyo binti nae anaogopa?....stuka ndugu

Very good Preta! Kama ana miaka 21 na shule kamaliza na yupo nyumbani tu, kuna tatizo gani la binti kuwa na mpenzi!! Wewe jamaa akipiga sim kubali tu kuwa wewe ndio kidume wake. Kama kweli ni baba yake mdogo we kula msimamo tu kuwa ni msichana wako, kwani akiendelea kubana na kama wewe unania ya dhati na binti watakujaumbuka siku utakayomuao. Nadhani kabinti kanataka kukuchezea akili tu, hebu kabane kwanza kidogo uone.
 
huyo baba akikupigia atakuwa kakosa busara,badala amkanye mwanae kuhusu kujihusisha na ngono yeye anaanza kutafuta mchawi nani?,kwa mfano ukikubali kwenye simu ndio una uhusiano na mtoto wake yeye atafanya nini?atakufuata arusha au??? mibaba mingine bwana............mie nahisi harufu ya mchezo,usipopigiwa hio number uliyopewa baada ya muda piga,jifanye unataka kumjua mwenye hio number kama ni jina la huyo mzee wa huyo msichana......mwisho,ukijihakikishia mpenzi wako ni mwaminifu jitambulishe kwao,ili ujulikane kwao hapo hakutakuwa na mashaka tena........
 
shida yako nin.. c ulisha kula mzigo.. kuanzia hapo... tumia mpira.. Dont die too soon.. Wanawake siku hizi hawaridhiki na MIKE MOJA....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom