Kama Huna Kazi na Umekata Tamaa Soma Hapa

Japo umewaponda madogo lakin nikisoma kwa kutumia miwani naona kama kuna viushauri viwili vitatu vya kufuata na vingine vya kupotezea so akili kimkichwa kwa wasomaji wengine!
 
Naona binti unakipaji, umenifuraisha kwa jinsi ambavyo unaweza kuelezea jambo kwa njia ambayo haichoshi na inamvutia msomaji kuendelea kusoma.

Kuna mwingine kasema unarapu, na mwingine kasema mpangilio wa maandishi siyo mzuri, hilo siyo tatizo kikubwa ni ujumbe ufike, maana wakati mwingine tunaandika kwa kukimbizana na muda hatuna muda wa kufuata kanuni wa Uandishi.
Kwa ufupi binafsi mambo ya kusaka ajira niliacha kitambo, nikaamua kujiajiri mwenyewe pamoja na kwamba kuna changamoto nyingi.
 
Umeongea ukweli sana. Wasiojua watakataa 2 uyasemayo.Big up lara 1. Mwenye macho haambiwi ona.
 
Ahsante kwa ushauri wako. Mungu akuzidishie fikra zako njema zikadumu na kuwafaa vijana wa rika lolote.
 
huyu jamaa vp mbona kama kafanya iwe deal, ama unatafuta jinsi ya kutoka... ki ukweli majamaa ni wababaishaji na kama hutaki kaa pembeni na uache utoto na vitisho vyako vya mbuzi ivyo... au hayo makampuni una share nayo maana naona limekuuma sana! tulia watu waonyeshe uelewa wao kijana... mfano Erolink wana kesi nyingi sana na wafanyakazi wao, uliza vizuri upate ufafanuzi na sio kutoa vitisho.
 
mkuu kuna sehemu naweza kukubaliana nawewe hasa hapo kwa hao jamaa wa BP(PUMA OIL) TULITUMA APPLICATION HOLA AMNA KITU KUMBE WANA MA AGENTS WAO DUH.
 
Wakubwa zangu shikamooni!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!

Bwana awe nanyi katika kipindi hiki kigumu machopitia! Kuna usemi nasema Kosa Hela Ujue Kipaji Chako Na Pata Hela Ushangae Tamaa Yako! Sasa katika kipindi hiki msichokuwa na kazi ndo mda wa kujua vipaji vyenu! Ngoja niwape miongozo kadhaa jinsi ya kupata kazi mujini hapa!

1.Recruitment Agencys- Mambo za kuhangaika na ma CV imepitwa na wakati, Mambo yote ni kupeleka CV zenu kwa hawa agents then wanakuinterview na kuwalink na Clients wao wa ukweee! ,Mfano RADAR RECRUITMENT ni agent wa siku nyingi wa GAPCO na PUMA OIL! Sasa usitegemee utapata kaz kubwa kwenye makampuni makubwa bila hawa magent kupata chao! (Kampuni ndio inalipa sio wewe) Mimi RADAR walinipeleka kwa clients 2 tukashindwana maslahi coz mimi ni mvivu plus nataka pesa nyingi! Kuna Enrich Africa pia alinipeleka kwa clients 3, wa maana basi tu mtu ukiwa hujielewi ndo hivo tena! Kuna EUROLINK (wanyonyaji sanaaa) Kuna PES (Wazushi) Shughulika Recruitmen(Wababaishaji) na wengineo! Jaribuni bahati zenu wadogo zangu! Kuna mtu alipelekwa GAPCO na RADAR kwa starting ya 1.8m enzi hizo ni lawyer huyo dada.(Let this serve as an inspiration)

2.Scholarship-Kama GPA zinasoma poa kuanzia 4 huko kuna mascholarship ya kumwagaaa kuanzia Ubalozi wa USA, JAPAN,CHINA, UK,TURKEY, RUSSIA na zinginezo! Sasa ushaona hapa na GPA unayo wahi ubalozi saa 12 sema naulizia Scholarship nimeambiwa zipo utaambiwa urudi mwezi wa ngapi! Na urudi! Sema siwafichi Mitihani ni Deadly kinomaaa! Mi wa USA ulinitoa knock out lasivo box zilinihusu sanaaa! Hizi scholarship za maana atii sio za wasiwasi kila kitu paid! Sema ndo ujikamue ufaulu huo mtihani wao! Baloz zote nilizotaja ndo miezi ya kufuatilia hii, wa 8 ni kukwea pipa! Sasa kaeni mkingaa sharubu mujini hapa muione habari yenu! Na mkienda mbane huko huko mpate uraia sio kujifanya vimbelembele front kurudi huku wakati mnaoa hali si shwari!

3.Mjiunge na Vyama vya Siasa! Mimi ni CCM damu, na asikwambie mtu kupata kazi mashirika ya uma Chama kinahusika sanaaa! Mnaweza hata kujiunga na chama cha hao wavaa magwanda ila mtapata network na exposure kuliko kushinda mnaangalia Woman of Steel na degree zenu! CCM is a Plus coz ukiweza kumake a difference na kujulikana ushatoka! Kuna watu walijiunga na chama vyuoni now ni wabunge hawaangaiki na kudondosha CV

4.Pelekeni CV hizi new banks zinaajiri japo mboga ndogoo, ndogo kweli kweli! FMBE, EQUITY, FNB, NIC BANK, BOA, KCB,FINCA, AKIBA, BANK M, UBA etc Peleka zote hizo hutokosa hata moja ila ndo mjue kazi tembo mshahara sisimizi! Na shurba ya bank isikie tu kwa wenzio! Highest hapo ni UBA anatoa starting gross ya 900,000 hadi 2011 saivi siwezi jua sanaaa! Si haba kuliko kukaa home!

5.Hakuna kazi nzuri ni wewe mwenyewe tu unavochakarika kuzispot mishe mishe za ukweee! Hata kama mishe zinapigwa wewe hujastukia hupati kitu kabisaaa! Muwe wajanja wa kucheza na Over Time, kusaka marupu rupu na kukwapua inapobidi! Asikwambie mtu hela ya mishe tamuuu! Ila mkumbuke za mwizi arobaini! Mkishikwa mie simoo!

Mazingira ya kazi!

Nikiwa graduate wa 2010 nishaajiriwa zaidi ya 4 times sehemu tofauti tofauti! Kazi hizi za kuajiriwa hazitofautiani ni yale yale tu! Kampuni jina kubwa maslah hakunaa! Kila ukihama ni yale yale tu! So kama umeajiriwa usijione huna bahati ndo hali halisi, piga mzigo hapo! Watu wanadanganya mishahara yao! Ukweli kila mtu anaujua moyoni! Mtu yuko Auditing Firm jina kubwaa na CPA yake, hiyo Take home sasa Majanga Majanga! Akisafiri analipiwa Full Board baba zimaaa! Ila its better than nothing!

La msingi wadogo zangu mjipange mjiajiri, mfungue maconsultacy hata kuleta mizigo china poa tuu ndo mtatoka ila huku white collar bado sanaaa! Sikia tu mwenzio yuko CRDB jina kubwaa uliza Take home! Majanga plus plus! Tunashia Kuwa Kopa kopa UNTD tu! Mkopo juu ya mkopo!

Ila kuna watu na bahati zao wamewin bwana kwenye NGOs huko, Research, Projects na waliokaa kwenye Mirija aka vitengo madhubuti! You never know na nyie mnaweza kuwa kati ya hao wachache wenye bahati! Zidisheni maombi! Otherwise niwatakie Saga Lami njema!

Umenikosha nyoyo, lala 1, kama ni demu ni pin unizalie watoto kama ni men basi tena.
 
Kuna mtu amecopy na kupaste hii thread then kupost huko ma-facebook,nilipokutana nayo 2 nikajua huyu ni kubwa la maadui 2...:A S thumbs_up: wape somo madogo!
 
Mbona ma Bank flan iv yana lipa poa tuu, gross ya M 1 na ushee tena nafasi za chini tu kama CRDB na ECO Bank hiyo ni gross lakini.
 
sasa hapo unawafundisha jinsi ya kuomba kazi wape mbinu za kujiajiri wenyewe
 
Nilikuwa Namalizia Kusoma UZI Wako Hadi Mwisho Kisha Nikusifie Lakini Kwa Huo UPOPOMA Wako Uliouandika Ktk Namba Tano ( 5 ) Hapo Nisikufiche NIMEKUDHARAU Na KUKUSHUSHA THAMANI KUNAKOTUKUKA Na Kumenipa Hisia Kuwa Yawezekana AJIRA Zako Nyingi Pamoja Na Hiyo Uliyonayo Sasa Umeipata Kwa " KUUKESHEA " Sana. Anyway Happy New Year!
 
We vipi! Stimu zako zinanihusu nini? Nilichosema hapo ni ukweli mtupu! Hata kama hukufurahishi ndo ukweli wenyewe huo!

Na FYI nitapost huku kila nikijisikia! Mwenye macho haambiwi ona, kama hujaona la maana we ng'aa sharubu tu wenziio wakichua mi scholarship hiyo ya ukwee (Kwanza GPA ya 4 hunaaa ndo maana maana povu lazima likutoke)

Mwenzio sijielewi ndio ila nachosema cha ukweli mtupu!

Kuna Kuwa Na GPA Ya 4 Ya KIUWEZO DARASANI Na Ile GPA Ya 4 Ya " PARADE " Je Mwenzetu Yako Wewe Ni Ipi Hapo?
 
Ndo hivo dogolasi mfanye ipossible zihappen banaaa! Nendeni mchuke scholarship hizo muwahi boxi mje kututoa kimaisha!!!!
Wellsaid...! Nimeisha teseka vya kutosha mpaka sasa hivi nachukia ajira kama kinyesi cha binadamu, kuhusu shule naona km nikuongeza umasikini mimi nimejitupa shambani tutafutane after 3 yrs..! Nitakupa ajira lara1.

Sitaki tena ujinga wa shule nilipata scholarship USA mwaka juzi nikafanya PAPERS yao ikanipiga nilikosa 0.5 niliapa sitarudia tena.
 
Ukishavunaaa njoo nikuchune baby wangu. Waukulima wa matikiti na vitunguu huwaga watamu sanaa, kwanza hela mnayo na kitandani mko vizurii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom