Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Hii dunia mbona tulisha Hama mkuu bado upo huku.....? You are so outdated....kifupi ume expire.
 
Ahahah Pesa tunatafuta tu wala sio shida akil ikishakuwa mahal pake..next step plz
si bado sasa step one, ngoja tujipange step one kwanza, then tuchanganye akili maana hata mimi ninazo
after this point, we shall know what next
Uzuri wa watu wenye akili haraka hakuna,,,mpangilio tu ndo muhimu
 
Kwenye sex Hakuna Mwanamke asiyemtosheleza mwanaume.
Labda asimpe kabisa.
How do you know? Mbona wapo wanaosema hivyo na ndoa zao zina matatizo na tatizo ni hilo? Najua kesi mojawapo na nilishasikia hata baadhi ya watu wakidai hivyo kwamba hawatoshelezwi na wake zao. Sasa kama wewe ndiye unayewasemea hawa, basi labda ni hivyo. Lakini hizi cases zipo. Mambo ya ndoa yana pande hizi mbili: kuna wanaume wasiowatosheleza wake zao na kuna wanawake wasiowatosheleza waume zao. Wakati mwingine tatizo lingeweza kutatuliwa na kwisha, lakini kwa vile katika 'sexual relationship' kila mmoja anatunza siri yake (na hataki mwingine ajue) kwa baadhi ya watu linakuwa tatizo la kudumu.
 
Ukisema hivi, unalifanya bandiko Lako kuwa batili mkuu. Ni sawa na mwingine aseme "kumridhisha mwanamke, ni kumpa pesa anazohitaji. Factors zingine zikiwa constant".

Nilitarajia utwambie kitu kinachomfanya mwanamke aridhike, ambacho kinajisimamia chenyewe bila kutegemea vingine, tofauti na hapo, nacho hakitoshi.
Well said
 
Kwa Mabandiko haya ni dhahiri kuwa WANAWAKE WANAITAWALA DUNIA.

Mwanamke anaonekana ni kiumbe dhaifu lakini Deep Down anawaendesha wanaume kama Magari.

KONGOLE KWENU WANAWAKE, MAANA VIJANA WANAHANGAIKA KILA UCHWAO KUWARIDHISHA NA KUWATUMIKIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Bonge la Comment

Yaani asilimia kubwa vitu vingi tunavyo fanya wanaume tunafanya ili tuwa vutie wanawake au kurudhisha wanawake
 
Nikweli kabisa ni ngumu sana kwa mwanamke kumsahau mwanaume ambaye amewahi kumfanyia mautundu ya ajabu kitandani.ni ngumu sana atakukumbuka maisha yake yote.ndiyo maana mkikutana tu lazima kuna asilimia kubwa ya kupasha kiporo
 
Mwanamke ukiwa nae old Trafford mkuruge kabisa mpaka papuchi itepete Kama chapati ya mayai ndo atakojoa sasa wewe unambambia Kama jogoo la kuku sekunde tu umeshuka atabanwa mkojo na akojoe saa ngapi
 
Ila mada zako siku hizi ni za ajabu ajabu sana.

Sijui umefanya tafiti gani kufikia hitimisho hilo!!
Yaani uwe unamkojoza huku unamlish ugali dagaa utegemee atakusitiri kisa unasimamia ukucha!!

Aone wanawake wenzie wanapendeza, wanatolewa out na waume zao, bata refu halafu yeye akuvumilie na ni pisi kali inayosumbuliwa eti kisa unamkojoza, bro usidanganye umma.

Wanawake wanapenda showoff, ndio maana huwasikii wakisema waume zao kwa mabaya hadharni ni kwakua wanataka waonekane kwa wenzao kuwa wana waume sahihi.

Ukiwa umeathiriwa na mitandao ya kijamii basi utapoteza uanaume wako kama humfikishi mkeo!! Ila kama wewe ni mwanaume na unajua kua ni mwanaume kutomkojolesha hakukuondolei uanaume wako na mkeo hatakudharau.
Dharau utazileta wewe ukiacha kujiamini.

Usipotoshe na kutisha watu.
 
Kwa Mabandiko haya ni dhahiri kuwa WANAWAKE WANAITAWALA DUNIA.

Mwanamke anaonekana ni kiumbe dhaifu lakini Deep Down anawaendesha wanaume kama Magari.

KONGOLE KWENU WANAWAKE, MAANA VIJANA WANAHANGAIKA KILA UCHWAO KUWARIDHISHA NA KUWATUMIKIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Watutegemee kqenye kuwalisha,kuwavisha,kuwatunza,kuwalinda basi mpaka kileleni watutegemee sisi ?

Wanaume tuna mzigo mzito sana.

Yani kama ndio hivi basi mwanamke ndio bosi nmana kila kitu anafanyiwa yeye raha zote aletewe na kufanyiwa.
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.

Moja kati ya post kali za kufungia mwaka
 
Back
Top Bottom