Kama hukuwahi kuona watumwa kaangalie wazawa wanaofanya kazi kwa 'baadhi' ya wawekezaji

Umbumbumbu wako au wao kisheria haubadili ukweli kwamba hata ukilalamika huku Jamii Forum bado jibu tatakiwa kulipata utakaposhitaki mahakamani.
Hivi hapa nalalamika au nataarifu? Kuna mtu wawa kunigeuza mtumwa mimi?

Nimeleta habari jf maana najua hapa kuna wahusika watakaoshughulikia hili swala na sii vinginevyo kama ambavyo fikra zako zanavyokuaminisha.
 
Hivi nyinyi watu mnatoka wapi?

Anyway, hata nyerere alishawahi kutuaminisha kuwa mtu akikuajiri tu, basi anakunyonya.

Haounaowaita watumwa angalau wana kazi ya kujipatia chochote kutoka kwa hao wazungu. Wewe mwenye kazi ya kiofisa endelea na mambo yako kwani hauwasaidii chochote kuzidi hao wawekezaji.
Kuona mtu mwingine anahatarisha maisha yake pasipokujua na mimi nikakaa kimya ni ubinafsi.
 
Mimi nimeshuhudia baadhi ya haya katika mashamba ya kilombero sugar. Kuna vijana wanachukuliwa kutoka mbeya maarufu kwa jina la Wasafa wanajishughulisha na kazi za kukata miwa. Mazingira ya kazi hadi wanapo ishi ni disaster. Niliumia sana mara baada ya kuona Watanzania wenzangu wakiishi na kufanya kazi katika mazingira magumu kiasi hicho. Naongea vitu ambavyo nimeona pasipo kusimuliwa kama kutakua na wenyeji wa kilombero watatusaidia kwa ufafanuzi zaidi katika hilo.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wao hata shule hawakupata nafasi ya kusoma.Wanaishi mazingira hatari kwa maisha yao lakini hawajui kama ni hatari.

Kwenye migodi ya GGM kumesharipotiwa ukatili wa kila aina lakini watu wanaishia kusema hayanihusu.
 
Wanyonyaji na wababaishaji ni waafrica, waindi na arabs
Hii ni kwa baadhi yao walio wengi ingaawa wapo wachache wema
Ila wahon na arabs sijaonaga at
 
Hivi hapa nalalamika au nataarifu? Kuna mtu wawa kunigeuza mtumwa mimi?

Nimeleta habari jf maana najua hapa kuna wahusika watakaoshughulikia hili swala na sii vinginevyo kama ambavyo fikra zako zanavyokuaminisha.

Hata majibu yangu ni jibu tosha kwamba wanatakiwa kwenda mahakamani. Mahakamani ni mahala pa kupata haki na wala huhitaji kujua hata punje moja ya sheria.

Kama wanadhani wana haki wao waende tu wataona hakimu au jaji anataja vifungu vilivyokikuwa.
 
What a stupid generalisation from a single or two cases!
Hata mimi nilidhani hivyo.Jana tulipoenda kutembelea eneo moja wapo ndipo tuliposimuliwa hayo.

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Hivi unafahamu ni mateso ya namna gani wafanyakazi wa ndani wanayapata katika nyumba za weusi wenzao?

Haya, hivi viongozi wa KiAfrika wanayowatendea wapinzani wao ni mazuri? Anzia hata Tanzania!

Hivi wanaume wengi wa kiAfrika na tabia ya kuwapiga na kuwanyanyasa wake zao ni kwa sababu nao ni wazungu, ama sivyo?

Acheni kunyooshea vidole rangi ya ngozi, nyooshea kidole tatizo, itatosha!

Steve Jobs - Giant Of Technology.
Utambulisho wako na mchango wako vinaendana kabisa. Wateetzi wa wazawa wajibu kwa usahihi hoja hizo ulizoziweka na tuanzie hapo kutafuta suluhu. kabla ya hapo ni ukaburu tu.
 
Back
Top Bottom