Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,461
- 12,218
- Thread starter
- #41
Mwishoni mwa post #1 nimeandika kama inavyosomeka.Kama unasema mzungu Ana roho mbaya katika malipo basi hujakutana na muhindi au mswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishoni mwa post #1 nimeandika kama inavyosomeka.Kama unasema mzungu Ana roho mbaya katika malipo basi hujakutana na muhindi au mswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hapa nalalamika au nataarifu? Kuna mtu wawa kunigeuza mtumwa mimi?Umbumbumbu wako au wao kisheria haubadili ukweli kwamba hata ukilalamika huku Jamii Forum bado jibu tatakiwa kulipata utakaposhitaki mahakamani.
Kuona mtu mwingine anahatarisha maisha yake pasipokujua na mimi nikakaa kimya ni ubinafsi.Hivi nyinyi watu mnatoka wapi?
Anyway, hata nyerere alishawahi kutuaminisha kuwa mtu akikuajiri tu, basi anakunyonya.
Haounaowaita watumwa angalau wana kazi ya kujipatia chochote kutoka kwa hao wazungu. Wewe mwenye kazi ya kiofisa endelea na mambo yako kwani hauwasaidii chochote kuzidi hao wawekezaji.
Wengi wao hata shule hawakupata nafasi ya kusoma.Wanaishi mazingira hatari kwa maisha yao lakini hawajui kama ni hatari.Mimi nimeshuhudia baadhi ya haya katika mashamba ya kilombero sugar. Kuna vijana wanachukuliwa kutoka mbeya maarufu kwa jina la Wasafa wanajishughulisha na kazi za kukata miwa. Mazingira ya kazi hadi wanapo ishi ni disaster. Niliumia sana mara baada ya kuona Watanzania wenzangu wakiishi na kufanya kazi katika mazingira magumu kiasi hicho. Naongea vitu ambavyo nimeona pasipo kusimuliwa kama kutakua na wenyeji wa kilombero watatusaidia kwa ufafanuzi zaidi katika hilo.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha kutetea wafanyakazi kipo kweli?Naona kimelala usingizi wa pono.Mkuu wanaotumikishwa hivyo ni watu walala hoi kabisa. Wasiojua kama sheria za hayo mambo.
Mimi baada ya kusikia nimeamua niyashirikishe hapa jukwaani.
Hivi hapa nalalamika au nataarifu? Kuna mtu wawa kunigeuza mtumwa mimi?
Nimeleta habari jf maana najua hapa kuna wahusika watakaoshughulikia hili swala na sii vinginevyo kama ambavyo fikra zako zanavyokuaminisha.
Hata mimi nilidhani hivyo.Jana tulipoenda kutembelea eneo moja wapo ndipo tuliposimuliwa hayo.
Utambulisho wako na mchango wako vinaendana kabisa. Wateetzi wa wazawa wajibu kwa usahihi hoja hizo ulizoziweka na tuanzie hapo kutafuta suluhu. kabla ya hapo ni ukaburu tu.Hivi unafahamu ni mateso ya namna gani wafanyakazi wa ndani wanayapata katika nyumba za weusi wenzao?
Haya, hivi viongozi wa KiAfrika wanayowatendea wapinzani wao ni mazuri? Anzia hata Tanzania!
Hivi wanaume wengi wa kiAfrika na tabia ya kuwapiga na kuwanyanyasa wake zao ni kwa sababu nao ni wazungu, ama sivyo?
Acheni kunyooshea vidole rangi ya ngozi, nyooshea kidole tatizo, itatosha!
Steve Jobs - Giant Of Technology.