Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Hajazaliwa wa kuamini picha hii!...!
Nachukulia hii kama ile maneno ya .."sungura akasema...."
Kwanza huyo ni Nyangumi mdogo sana...
Hivi kuna mtu anayeweza kuchafua mazingira kiasi hiki katika nchi hii ? Ingekuwa huko Bongo, ningekubali kuwa hii picha ni kweli. Sasa huyo nyngumi anatolewa wapi na anapelekwa wapi?
Ndio.Ikumbukwe kuwa Nyangumi ndiye mnyama mkubwa kuliko wote duniani.Haishangazi kuona nyangumi mkubwa zaidi ya huyo.Niliyemwona Japan anamzidi huyo.Ni kitoweo kinachouzwa kwa bei mbaya Japan na nchi nyinginezo..Usiniambie mkuu. Inamaana kuna nyangumi mkubwa zaidi ya huyo?
mkuu itabidi uamini tu-Hajazaliwa wa kuamini picha hii!...!
Nachukulia hii kama ile maneno ya .."sungura akasema...."
Ndio.Ikumbukwe kuwa Nyangumi ndiye mnyama mkubwa kuliko wote duniani.Haishangazi kuona nyangumi mkubwa zaidi ya huyo.Niliyemwona Japan anamzidi huyo.Ni kitoweo kinachouzwa kwa bei mbaya Japan na nchi nyinginezo..
Hivi kuna mtu anayeweza kuchafua mazingira kiasi hiki katika nchi hii ? Ingekuwa huko Bongo, ningekubali kuwa hii picha ni kweli. Sasa huyo nyngumi anatolewa wapi na anapelekwa wapi?
mbona hizo picha mimi sizioni???
Nimemla sana tu.Ana ladha ya nyama pori...Kumbe nyangumi analiwa? Wewe umeshawahi kumla? Ana ladha gani?
Nimemla sana tu.Ana ladha ya nyama pori...
huyo kwenye gari ana miezi miwili.
Ladha yake unaweza kumfananisha na mnyama gani? Anapikwaje?