Kama hujawahi kumuona nyangumi, angalia hapa!

Wewe huyo ni mtoto wa Nyangumi, hakuna gari inayoweza kumbeba Nyangumi duniani hapa, labda awe amekatwa vipande.
Nyangumi ni mnyama mkubwa kuliko viumbe vyote vinavyoishi. Moyo wake ni sawa na Cresta Mark II moja. Acha kabisa mdhaha na Nyangumi wewe.
 
Duh!! Unaweza kunionyesha picha yake mkuu??
 
Back
Top Bottom