Kama hili la Spika wa Bunge ni kweli, huu ni ulevi wa madaraka

speaker kama hawa ndo huleta machafuko nchini, huwezi toa amri kwa police kwenda kumkamata mtu aende kuhojiwa ya kamati ya maadili, watu kama kina speaker hawajui maana ya idara/wizara ya mambo ya ndani na jinsi inavyofanya kazi, huyu ni kweli speaker ama ni gumashi lingine limejificha kwenye kichaka cha uspeaker, maamuzi ya hovyo kabisa.
Nashangaa mkuu huyo mtu alimtandika mgombea mwenzake na kumjeruhi vibaya sababu tu ya ubunge lkn kwa uzuzu wa wabunge wa ccm wakampitisha kuwa spika
 
Huyu Dada ni jembe.kamweza yule mwenyw sura...sasa huyu naniiiii
Kuna siku kabla ya uchaguzi mkuu yule mzee alihojiwa akawa anajitapa "mwacheni huyo binti aje ntamchakaza tu"... ...sasa sijui ikawaje babu kapigwa ngeta na shosti!
 
Hawa wabunge wa upinzani wanaona sifa wanapoigomea serikali ili kutafuta ujiko kwa wananchi na kukataa makusudi kumbe ujinga mtupu.wacha sheria za nchi zifanye kazi.
 
Matumizi mabaya ya madaraka ,Matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi msitegemee jipya toka kwa Ndugai na CCM yao,mtakumbuka kabla ya uchaguzi walinunua magari ya maji ya kuwasha kwa pesa za walipa kodi wakati mashine za CT Scan pale muhimbili zilikuwa hazifanyi kazi.
 
UTAFANYAJE 2020? UNAYAJUA MAJESHI WEWE? HATAMPIGI KULA ZA HAPANA MAJESHI YATAFANYAKAZI NZURI TEH TEH TEH.................................

Akili kama yako hiyo usaidiweje ?! Kumbuka kina Lowassa, Sumaye, Kingunge, Seif Sherif etc walikuwa wanapigiwa salute na hao hao wanajeshi na maaskari leo wanawasakama. Hivyo nawe usijiamini kuwa uko ktk mstari MAMBO HUBADILIKA
 
Fedha za umma zimetumika vibaya. Yaani ndege inatoka Dar kwenda Mwanza kumchukua abiria moja Ester Bulaya. Kwani nh. Bulaya aliitwa na kamati ya maadili akakataa?
Hakuna ndege iliyo kodiwa kwa sababu ya kumfuata esther ila polisi wa Mwanza ndio wamemleta dar!
 
Hakuna ndege iliyo kodiwa kwa sababu ya kumfuata esther ila polisi wa Mwanza ndio wamemleta dar!

Si matumizi ya hovyo ukizingatia Ester angeweza kuwahi hata kwa kupigiwa simu.

Ndugai kaona kimya kama vile watu wanamsahau kuamua kumdhalilisha huyo mama. Lakini wajiulize tangu waanze hila kwa viongozi wa upinzani mbona ndio kwanza watu wanazidi kuwaunga mkono upinzani?????!!
 
Tanzania bhana ata drugs cartel waliopo hawawezi wasafirisha kwa njia hiyo. NCHI IMEOZA
 
NA AMA NI KUCHANGANYIKIWA! NAANGALIA ITV WANARIPOTI KUWA ESTHER BULAYA KAKAMATWA KWA AMRI YA SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI "ETI" ILI APELEKWE MBELE YA KAMATI YA MAADILI!

POLISI NI CHOMBO CHA JINAI, NILITEGEMEA ESTHER BULAYA ANAANDALIWA MASHITAKA YA JINAI ILI AFIKISHWE MAHAKAMANI, KUMBE NI KWENYE KAMATI YA MAADILI! HATA INGEKUWA NI JINAI SPIKA ANAHUSIKAJE?!

JOB NDUGAI KUNYWA JUICE YA LIMAO HUO ULEVI UISHE! UNAJIAIBISHA! POLE DADA ESTHER BULAYA, NDIVYO MFUMO ULIORITHIWA KWA WAKOLONI ULIVYO! NI UKABURU MAMBOLEO! POLE SANA DADA.
Ni aibu sana
 
MATUMIZI MABAYA YA RASLIMALI, MADARAKA , JESHI NA MUDA. NASIKIA AMEKAMATWA HOTELINI SAA 7 USIKU, KAMA ILIKUWA LAZIMA AKAMATWE JE ASINGEKAMATWA ASUBUHI KULIKO KUVURUGA BIASHARA NA USINGIZI WA WATU KWA ISSUE YA MAADILI ? akili za hawa jamaa zimeenda likizo kwani kwa vitendo hivyo upinzani wanazidi kupata ALAMA ZA JUU KATIKA JAMII.:p:p:p:p:D:D:D:D
Mm nilijua ana kesi ya mauaji na ana mpango wa kutoroka nchi!! Kweli kuwa uyaone!!
 
Akili kama yako hiyo usaidiweje ?! Kumbuka kina Lowassa, Sumaye, Kingunge, Seif Sherif etc walikuwa wanapigiwa salute na hao hao wanajeshi na maaskari leo wanawasakama. Hivyo nawe usijiamini kuwa uko ktk mstari MAMBO HUBADILIKA

LOFA MKUBWA ULIE KUBUHU, NANI ATABADILISHA. 2015 MLISEMA MABADILIKO YAKO WAPI?

TUTAWAPIGA TU....
 
LOFA MKUBWA ULIE KUBUHU, NANI ATABADILISHA. 2015 MLISEMA MABADILIKO YAKO WAPI?

TUTAWAPIGA TU....

Ndio maana nasema ulizo nazo zinakutosha mwenye huhitaji hata kuchangia humu JF. Mambo hubadilika rafiki wa leo adui wa kesho. Lakini muhimu hakuna popote duniani mabavu yalipoishinda haki
 
Back
Top Bottom