Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!!

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
738
Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.

1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.

2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k

3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.

4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.

Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
 
jiulize kwanza wao wanaishi miaka mingapi hadi sasa
sioni tofauti kama wanataka kupunguza watu ili waishi vizuri
zaidi kwa maisha marefu
 
New World Order ipo lakini sio kwa namna hiyo inayovumishwa, too exaggerate kiasi kwamba inaonekana ni conspiracy theory.
Hao wazungu wenyee au waliotengeneza hizo mbegu za GMO na mifugo ya mtindo huo wanakula vyakula hivihivi.


Hata ukisikia wanataka nyanya, matikiti, maboga, kitunguu na mchicha organic ni kwamba mbegu ndio hizo hizo za GMO lakini vile unavyolima bila kutumia viwatilifu na mbolea za makemikali ndio huzalisha farm produce ambayo ni organic product.

Labda useme wao wanatumia kinga flani ambayo hata wakila na kunywa hivyo vitu zile athari za GMO hawazipatai.

Saa nyingine hizi mambo(conspiracy theories) hutengezwa na kuenezwa na matapeli ili wauze bidhaa zao.
 
Mbona hujasema simu/ Computer/Tv kuwa vyote hivo vinapunguza maisha yetu?
 
Back
Top Bottom