You are right, but I'm afraid that in our bunge with CCM majority no body cares when genuine argumentations are made. We seen several of the opposition MPs with good arguments but they were let down by their own people. So the issue is not how she presents her aruguments but how the majority CCM will pass the bill.
Will the Speak say " wanaounga mkono hoja waseme ndiyooooo" or what? I'm doubting our Bunge in passing very crucial Bills.
Tatizo hapa siyo sheria ya manunuzi, suala hapa ni kwamba jamaa wanatengeneza mazingira ya kuja kununua mitambo iliyoingizwa nchini kipindi hiki kwa kigezo cha umeme wa dharula. Ukweli ni kwamba mitambo hiyo inauwezo wa kufanyakazi kwa zaidi ya miaka 10 au zaidi kama inapata service nzuri.
Serikali imewapa wawekezai hao wa umeme wa dharula muda usiozidi miaka miwili kwa malipo ambayo ndani ya muda huo watakuwa wamerejesha gharama zao za manunuzi ya mitambo, kuisafirisha mpaka hapa na faida juu.
Kwa kuwa hakuna nchi nyingine inayoweza kuliwa kama hii yetu kupitia miradi kama hii ya umeme hivyo jamaa wanaona sio sawa kuiacha mitambo hiyo iozee hapo baada ya mikataba kuisha so wanafikiria jinsi ya kuiuza na mnunuzi mzuri hapa ni serikali pekee ambayo itawafanya wapate pesa zaidi.
Jamaa hawawezi kuitaja mitambo hii katika hili watazunguka mibuyu wee lakini focus yao kubwa ni hapo ndio maana wamewatuma wanahisa wenzao (wanasiasa) wakajaribu kulishawishi bunge lipitishe muswada huo ili miaka miwili ijayo wagawane mabilioni na tayari kwa kuelekea uchaguzi mwingine!
WE NGOJA TU, only time will tellTutakwepaje hayo?mana wameupitisha teyar kwa muonekano wa mjadala.
Ni rahisi tu, wakiupitisha tunaandamana lakini pia tunahahakikisha hatuwachagui wale wote ambao wataonekana kuunga mkono hoja za kiporaji kama hii.Tutakwepaje hayo?mana wameupitisha teyar kwa muonekano wa mjadala.
Tatizo hapa siyo sheria ya manunuzi, suala hapa ni kwamba jamaa wanatengeneza mazingira ya kuja kununua mitambo iliyoingizwa nchini kipindi hiki kwa kigezo cha umeme wa dharula. Ukweli ni kwamba mitambo hiyo inauwezo wa kufanyakazi kwa zaidi ya miaka 10 au zaidi kama inapata service nzuri.
Serikali imewapa wawekezai hao wa umeme wa dharula muda usiozidi miaka miwili kwa malipo ambayo ndani ya muda huo watakuwa wamerejesha gharama zao za manunuzi ya mitambo, kuisafirisha mpaka hapa na faida juu.
Kwa kuwa hakuna nchi nyingine inayoweza kuliwa kama hii yetu kupitia miradi kama hii ya umeme hivyo jamaa wanaona sio sawa kuiacha mitambo hiyo iozee hapo baada ya mikataba kuisha so wanafikiria jinsi ya kuiuza na mnunuzi mzuri hapa ni serikali pekee ambayo itawafanya wapate pesa zaidi.
Jamaa hawawezi kuitaja mitambo hii katika hili watazunguka mibuyu wee lakini focus yao kubwa ni hapo ndio maana wamewatuma wanahisa wenzao (wanasiasa) wakajaribu kulishawishi bunge lipitishe muswada huo ili miaka miwili ijayo wagawane mabilioni na tayari kwa kuelekea uchaguzi mwingine!!
Kasi na mbinu za huyu jamaa siwezi hata kuzizungumzia! He is too intelligent on dirty politics and he doesnt just know but an expert on how to play that game!Ninachokiona hapa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2015. Mtandao wa Lowassa unatengeneza mazingira ya kupata fedha za kutosha zitakazomfanya aingie Ikulu. Dili za ununuaji wa mitambo chakavu hasa ya umeme itawanufaisha sana kina Lowasa. Kwa wale watakaokuwa kambi tofauti wameliwa.
Kuna haja ya kujipanga kimkakati kuhakikisha mafisadi hawaingii ikulu, tukishindwa nchi imekwisha.
Basi mwenyekiti wetu Mh.Kikwete ndio anaakili nyingi na hapa ni wakati wakubembea kwenye mabembea ya Jamaika
Amesimama kuzungumza kuchangia hoja na kuanza kunukuu kila baada ya dakika na pasipo kuonyesha anasimamia hoja gani. Naomba waliomtazama wachangie na wengine tuachieni mjadala na hoja hii haina itikadi hapa.
Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuonge Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af Ndo Alikuwa Ass. lecturer UDSM, Kwa Mtindo Huo Sijui Darasani Halikuwa Ana Lecture Nini!?