Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

Tatizo la Chadema hawataki kukosolewa. Wanajihisi wapo sawa kwa kila jambo.

Sijaamuona wakati anachangia, ila kama kweli ametema pumba kwanini asiambiwe. Itamsaidia next time kuwa makini zaidi.

Wabunge wa Chadema sio miungu, nao pia wana mapungufu yao. Lazma waambiwe.
 
huyu aliyeleta hii thread awe anatumia japo kidogo uwezo wa kufikiri kabla haja act ye anazungumzia m2 m1 wa cdm je amewaona hao wabunge 200 wa magamba ambao kazi yao ni usingiz na kushupalia vi2 ambavyo havisaidii nchi kma huo mswada wa Nundu wa kununa scrapper/ chuma chakavu. ipo siku magamba mtakumbuka huu upuuzi mnaofanya now
 
Tatizo la Chadema hawataki kukosolewa. Wanajihisi wapo sawa kwa kila jambo.

Sijaamuona wakati anachangia, ila kama kweli ametema pumba kwanini asiambiwe. Itamsaidia next time kuwa makini zaidi.

Wabunge wa Chadema sio miungu, nao pia wana mapungufu yao. Lazma waambiwe.

Sasa leo nimeamini kuwa we unalipwa na magamba kwa kuiandama na kuikosoa cdm kwa kila jambo. Hivi huwezi ukakaa kimya bila kuchangia hata kama hoja huifahamu? Yaani lazima utawashwa tu kuidandia mada hata kama huielewi kisa tu inahusu cdm. Shame on you mzee
 
Mnaotuambia kajiuma uma mara kichefu chefu, lakini kwani nini hamsemi alichokiongea? Alijiuma uma uma nini? Alikuwa ananukuu nini, kama mlimwangalia mlikuwa mnaangalia kitu gani kama hamuwezi kutuambia mlichokiona na kukisikia? Mnataka tuchangie au tujadili kichefuchefu? Mnataka tujadili kujiuma uma?

Huo ni upuuzi watanzania tuache kujidharaulisha kwa kukurupuka na kuweka ujinga wako mabele za watu.tuambie alisema tununue mitumba ya ndege na aka nukuu kitu wapi,sio kutueleza kinyaa,mara kichefuchefu.

Usisiemu wenu huo utawapeleka jehanamu
 
J Kikwete hawezi hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 ila mmempa Tz, pia hujui mawazo anayotoa mbunge 1 wa CDM ni sawa na mawazo ya wabunge 100 wa CCM
 
[/COLOR]
Mbona uandishi wako wenyewe unaonesha si wa kumuelewa assistant lecturer, je tatizo ni alichoongea au uwezo wenu(mlioshindwa muelewa) wa kuelewa anachoongea? Sio kila mtu anaweza muelewa lecturer!
Hy ni comment, Sio barua ya kuombea kazi..Ka vp Muombeni Mod awape kazi Za Ku-edit kila 2nachopost
 
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza.

MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo.

Mwisho inawezekana idadi ya wabunge wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.

Kusema idadi ya wabunge wa CDM kupungua hiyo ndoto za mchana, au ni mawazo ya wale watoto wa mafisadi wa nchi hii wanaofikiri nyanya, bamia, machungwa, embe etc vialimwa kwenye friji kwani hata sokoni, mashambani hawakujui wamezaliwa gorofani na kukulia gorofani.

Na kuhusi wabunge wa CDM kujadili/kutoa mchango bungeni nadhani alilolisema lilikunyima usingizi wewe kama fisadi na sasa unatafuta psychological relief kwa kuandika hizo pumba hapo juu.

Kama uanfikiri wabunge wa CDM wanachangia mada kwa jinsi ambavyo hawakufurahishi, basi wewe ni fisadi wa nchi hii/kama aliyo shatani anavyowachukia watu wanaomwabudu mungu na wasio na dhambi.
 
kawaida si dhan mtu kama ester anweza zungumza pumba kwa sababu namjua ni msomi mzuri sana na uwezo anao mzuri sana sasa hayo yatakuwa majungu yako ww mwana ccm
 
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza.

MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo.

Mwisho inawezekana idadi ya wabunge wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.

mkuu bora hata huyo... kuna mwengine nasikia yupo mtaani anataka kuzindua CD yenye nyimbo za matusi .. nikimaanisha wametumia hadi lile tusi la "mama"

kwa style hiii CDM wasahau kuchukua Nchi
 
Juzi mlianza na kumuandama Regia mtema sasa mmekuja na huyu....jamani hamchoki tu??? Waacheni wadada wa watu wapige kazi iliyowapeleka bungeni. Wa CCM Vicky kamata ndio anajua kujenga hoja?? au anaonesha tu vikuku bungeni?
 
Sasa leo nimeamini kuwa we unalipwa na magamba kwa kuiandama na kuikosoa cdm kwa kila jambo. Hivi huwezi ukakaa kimya bila kuchangia hata kama hoja huifahamu? Yaani lazima utawashwa tu kuidandia mada hata kama huielewi kisa tu inahusu cdm. Shame on you mzee

hebu jaribu kupitia kwa makini nilichoandika. Sijamkosoa mtu yeyote, hayo ya kusemwa nalipwa yametokea wapi?.
 
mkuu bora hata huyo... kuna mwengine nasikia yupo mtaani anataka kuzindua CD yenye nyimbo za matusi .. nikimaanisha wametumia hadi lile tusi la "mama"

kwa style hiii CDM wasahau kuchukua Nchi

Karibia anazindua inaitwa Anti-Virus
 
Wabunge wote hawajui kutumia muda kwenye podium, unanukuu vifungu mpaka muda wako unaisha hujasema lako!

Hahahahhahahaahaa......
 
Back
Top Bottom