Kama anaona wa juu yake anaiba vya masikini bila huruma kwanini nae asijimegee keki yake mapema?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,178
Tena GENTAMYCINE nampongeza sana huyo Afisa Elimu kwa hicho alichokifanya, kwani kama anaona aliye juu yake anaiba vya masikini bila ya huruma kwanini nae asijimegee kipande chake cha keki Tanzania mapema?

Hakuna kitu nachukia kama Unafiki na kujifanya ni Mbwa mkali unayebweka kutisha watu wakati mbele ya Chatu wakubwa Marekani na UAE unajipeleka mwenyewe ukawe kitoweo chao tukuka kwa Udhaifu wako.
 
Hiyo kitaalamu inaitwa let them eat I'm waiting for my chance...,waombe niishie huku chini,maana nikija shika madaraka ya juu,nitafunga wote walioharibu nchi.
 
Waalimu jamani, wanavyoandamwa…!!!?!!
Halafu we Gent inaonekana unamchukia sana maza!
Alikupikia ugali mbichi nini?
 
Back
Top Bottom