Elections 2010 Kama 27% ndio waliopiga kura, je kweli huyo rais anakubalika kweli?

hivi huyu jk anajisikiaje huo ushindi wa kishindo anaoupata ni wa kura za ma mbumbumbu (vijijini kule, maeneo ya watu wasiojua issues, un educated hasa kule pwani ), au yeye kwake sawa tu maadam ni ushindi! kwa nchi inavyozidi kupanuka ktk nyanja za mawasiliano na elimu kupanuka zaidi kule pwani na vijijini watu wasikojua kusoma wala kuandika achilia mbali kufatilia issues kwenye vyombo vya habari maana hata umeme hamna future ya ccm kiujumla si inazidi kuwa ndogo?
 
Hivi kweli jamani, pamoja na kukua kwa teknolojia, haiwezekani angalau kwa kura ya rais mtu akapiga kwenye kituo chochote. Maana wengi hawakupiga kura kutokana na kutokuwepo kwenye vituo walivyotakiwa kupigia kura
 
Back
Top Bottom