kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Makamu wa rais wa kenya Kalonzo Musyoka amezijia juu taasisi zinazofanya opinion polls na kusema ni wachochezi na kuitaja Synovate kama mojawapo ya taasisi hizo.
Alisema haiwezekani mtu anakusanya watu 15 sehemu anawauliza maoni yao halafu ana-generalize kwamba hayo ni maoni ya wakenya wote.
Amesema si kweli kwamba tafiti hizo ni za kisayansi, na ametaka kuwepo kwa sheria za kuzibana hizi taasisi kwani zinaweza kuhatarisha umoja na amani ya nchi.
Source: KBC1 Habari.
I think he has a point, hizi taasisi zichunguzwe, wanafanya utafiti wa kupatia funds na si kusaidia nchi.