Kalianzisha nami 'nimekinukisha', sasa anaomba radhi. Je nimsamehe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,031
Kama tujuavyo Mwanaume aliye ' rijali ' kabisa kutongoza au kumtongoza Mwanamke yoyote yule apitaye mbele yake ni ' sunna ' na si kitu cha kushangaa au kuanza kujiuliza maswali mengi na ukiona Mwanaume hatongozi mara kwa mara basi jua huyo ameshakamatika kwa Mkewe au Demu wake au ni ' domo ' zege au hana ' saundi ' na anaweza akawa hata ' Shoga ' vile vile.

Muda si mrefu nilikuwa katika Mabasi yetu haya ya ' mwendokasi ' na bahati nzuri nikakaa na Mrembo mmoja hivi hivyo kama jadi na wajibu wa Mwanamume nikaanza kumwaga ' vocal ' zangu ili ' nimdake ' na nikamalize Kazi mapema kabisa.

Tuliongea mambo mengi sana na huyu Dada alionyesha ' ushirikiano ' wote na tukapeana hadi namba za Simu ili tuweze kuendeleza mawasiliano na kisha lile lengo langu kuu tu kwake la ' kumbandua ' litimie.

Cha kushangaza huyu Dada wakati nikijua kuwa tumeshakuwa sasa Marafiki kumbe mwenzangu amefika Kwake kamwadithia sijui ' Basha ' wake au ' Mumewe ' yule juu ya nilivyokuwa namtongoza na hadi ' maudambwi udambwi ' yote niliyokuwa namwambia hadi Jamaa yake akanipigia Simu na kuanza ' kunitusi ' na ' kunitishia ' na mambo mengine mengi sana na ya ajabu mno.

Sasa baada ya Jamaa ' kuniwakia ' na bahati nzuri wakati ananipiga ' biti ' katika Simu nilikuwa namsikia kabisa yule Dada ' akishadadia ' kwa kumpandisha ' mori ' Jamaa yake kuwa aendelee kunitusi na kunitishia ila Mwanamume kwakuwa ni Mtoto wa Mjini halafu michezo ya Hatari nimeshaizoea sana nikasubiri amalize kuongea kisha nimpe ' taizi ' moja ambalo litamfanya siku nyingine awe na adabu.

Alipomaliza tu kunitusi na kunitishia Jamaa akakata Simu huku nikimsikia na yule Demu wake akicheka kabisa na kusema ' ukome '. Baada tu ya kukata ile Simu ' Le Mathematicien ' Mimi nikakaa chini kutafakari na nikaamua na Mimi sasa kuandika Meseji moja ambayo nitaiweka hapa kiufupi tu na nainukuu " Kaka asante sana kwa matusi yako na vitisho vyako vyote ila Mimi sitokurudishia chochote sana sana tu nakutakia mwanzo mwema wa kuanza kutumia Dawa za ARV's kwani sasa ni mwaka wa 13 naishi navyo halafu nikuibie tu siri huyo Demu wako amekuja kukusemea kwakuwa tu aliniomba Hela ya kwenda Hospitali ila sikumpa halafu juzi nilikuwa nae Kwangu na nikafanya nae mapenzi kinyume na maumbile hivyo nikampasua ' nyero ' sasa anasema alikuwa anataka akajitibie ".

Nilipomaliza tu kuituma hiyo meseji baada ya muda kama wa dakika 15 hivi nikaona Simu ya yule Demu inaita na nikapokea ila wakati napokea tu nikasikia analia huku anapigwa vibaya mno na huyo ' Basha ' wake na akawa ananiomba nimpigie huyo ' Basha ' wake na nimwambie kuwa nilikosea tu kuandika ile meseji na haikuwa inamlenga yeye nami nikamwambia kuwa Yeye wakati ananichonganisha na huyo Mwanaume wake alikuwa anategemea nini? Ghafla akakata Simu.

Alipomaliza tu kuikata Simu nikaona nikapigiwa Simu na huyo Mwanaume wake sasa na alichoanza kuongea na Mimi ni kuniomba radhi kwa yale yote aliyonitamkia lakini kubwa zaidi akataka tu kujua nimetembea nae huyo Demu wake kwa muda gani na Mimi kutaka kumwonyesha kuwa sikuzaliwa ' Mbwinde ' bali nimezaliwa ' Town ' kabisa tena Ilala nikamjibu kuwa nimeshatembea nae kama mara 17 hivi na mara zote hizo nimekuwa ' nikimbandua ' mabao matatu matatu ( 3 ) hivyo apige Mahesabu yake atajua mpaka sasa nimeshamwambukiza ' Vijidudu ' Demu wake mara ngapi.

Nilipomaliza tu kumjibu hayo huyo Jamaa nikaanza kumsikia ' akilia ' tena kwa sauti kubwa mno akisema namnukuu " Mpenzi wangu umeniua.....Mama yangu weeeeeee.....nitapeleka wapi aibu hii....kipi ulikikosa kwangu....bora nijiue tu....Mungu nisamehe " na ghafla nikasikia na yule Demu nae analia na kumwomba radhi Mumewe huku Simu yao ikiwa bado haijakatwa kisha yule Mwanamke akaichukua ile Simu ya ' Basha ' wake na kuongea na Mimi kuniomba nimsamehe hasa Yeye kwa kitendo alichonifanyia na kuniomba niongee na huyo ' Basha ' wake na nimwambie tu ukweli kuwa ' sijatembea ' nae na wala sina ' maambukizi " ya UKIMWI kwani anavyomuona huyo ' Basha ' wake ni kwamba anaweza ' kujiua ' kweli kwani amechanganyikiwa.

Sasa wana JF wenzangu mnanishaurije manake alipomaliza tu kuongea hayo nikakata Simu yake ili nitafakari nini cha kufanya kwani yote haya kayataka mwenyewe huyu Dada. Je nimpigie Simu yule Jamaa yake na nimwambie kuwa nilikuwa tu ' namdanganya ' kama siyo kumrusha tu ' roho ' au niache hivyo hivyo tu liwalo na liwe? Kwani matusi, kashfa na vitisho vya yule Jamaa yake vilikuwa ni vikubwa na havivumiliki.

Nasubiri mawazo yenu.
 
Msamehe tu mkuu.
Umejua kukinukisha, hii formula mimi pia nitaitumia kwenye mathematics

Itumie tu Mkuu mbona ninazo formula nyingi sana hasa kwa akina Dada wenye ' Shobo ' za aina hiyo? Mwaka jana hivyo hivyo mitaa ya Sinza nimekaa karibia na Demu nikamtongoza sasa cha kushangaza Mimi nilikuwa nikimjibu kwa sauti ya chini kabisa ile ' Njemba ' zingine zisisikie lakini yeye akawa kila akinijibu anajibu kwa sauti ili ' kunichoresha ' na baadae akasema kwa sauti kabisa kuwa namsumbua kisha abiria wote wakageuka hivyo Mwanamume nami nikamchenjia na kumwambia kuwa amejamba halafu ananiletea za kuleta abiria wote wakawa sasa wanacheka na nikamtia kweli aibu yule Dada na nakumbuka ilikuwa ashukie Afrika sana na akashukiea kwa Remmy. Nakumbuka abiria hasa wa Kiume walinisifu mno kwa hiyo mbinu ' mbadala '.
 
Afika sana mbali sana
 
Hahahhh kesi ya mauaji inakusubili
Kesi Ya Mauaji Kivipi Mama?
Katika Sheria Ya Makosa Jinai Kifungu Namba 196 Ni Lazima Mtuhumiwa Awe Amedhamiria Kuutoa Uhai Wa Mtu Mwingine Alafu Awe Amefanya Kitendo Au Ameacha Kufanya Kitendo Ambacho Kisheria Au Kutokana Na Circumstances Ilitakiwa Akifanye. Na Kuua Inatakiwa Tendo Lililofanywa Au Lililoacha Kufanywa Liwe Limepelekea Death Of That Person As An Immediate Impact Of It. Must Cause The Death. Sasa Hapo Labda Kifigisufigisu Ila Kisheria Hana Hatia Incase The Dude Kills Himself.
 
Kama tujuavyo Mwanaume aliye ' rijali ' kabisa kutongoza au kumtongoza Mwanamke yoyote yule apitaye mbele yake ni ' sunna ' na si kitu cha kushangaa au kuanza kujiuliza maswali mengi na ukiona Mwanaume hatongozi mara kwa mara basi jua huyo ameshakamatika kwa Mkewe au Demu wake au ni ' domo ' zege au hana ' saundi ' na anaweza akawa hata ' Shoga ' vile vile.

Muda si mrefu nilikuwa katika Mabasi yetu haya ya ' mwendokasi ' na bahati nzuri nikakaa na Mrembo mmoja hivi hivyo kama jadi na wajibu wa Mwanamume nikaanza kumwaga ' vocal ' zangu ili ' nimdake ' na nikamalize Kazi mapema kabisa.

Tuliongea mambo mengi sana na huyu Dada alionyesha ' ushirikiano ' wote na tukapeana hadi namba za Simu ili tuweze kuendeleza mawasiliano na kisha lile lengo langu kuu tu kwake la ' kumbandua ' litimie.

Cha kushangaza huyu Dada wakati nikijua kuwa tumeshakuwa sasa Marafiki kumbe mwenzangu amefika Kwake kamwadithia sijui ' Basha ' wake au ' Mumewe ' yule juu ya nilivyokuwa namtongoza na hadi ' maudambwi udambwi ' yote niliyokuwa namwambia hadi Jamaa yake akanipigia Simu na kuanza ' kunitusi ' na ' kunitishia ' na mambo mengine mengi sana na ya ajabu mno.

Sasa baada ya Jamaa ' kuniwakia ' na bahati nzuri wakati ananipiga ' biti ' katika Simu nilikuwa namsikia kabisa yule Dada ' akishadadia ' kwa kumpandisha ' mori ' Jamaa yake kuwa aendelee kunitusi na kunitishia ila Mwanamume kwakuwa ni Mtoto wa Mjini halafu michezo ya Hatari nimeshaizoea sana nikasubiri amalize kuongea kisha nimpe ' taizi ' moja ambalo litamfanya siku nyingine awe na adabu.

Alipomaliza tu kunitusi na kunitishia Jamaa akakata Simu huku nikimsikia na yule Demu wake akicheka kabisa na kusema ' ukome '. Baada tu ya kukata ile Simu ' Le Mathematicien ' Mimi nikakaa chini kutafakari na nikaamua na Mimi sasa kuandika Meseji moja ambayo nitaiweka hapa kiufupi tu na nainukuu " Kaka asante sana kwa matusi yako na vitisho vyako vyote ila Mimi sitokurudishia chochote sana sana tu nakutakia mwanzo mwema wa kuanza kutumia Dawa za ARV's kwani sasa ni mwaka wa 13 naishi navyo halafu nikuibie tu siri huyo Demu wako amekuja kukusemea kwakuwa tu aliniomba Hela ya kwenda Hospitali ila sikumpa halafu juzi nilikuwa nae Kwangu na nikafanya nae mapenzi kinyume na maumbile hivyo nikampasua ' nyero ' sasa anasema alikuwa anataka akajitibie ".

Nilipomaliza tu kuituma hiyo meseji baada ya muda kama wa dakika 15 hivi nikaona Simu ya yule Demu inaita na nikapokea ila wakati napokea tu nikasikia analia huku anapigwa vibaya mno na huyo ' Basha ' wake na akawa ananiomba nimpigie huyo ' Basha ' wake na nimwambie kuwa nilikosea tu kuandika ile meseji na haikuwa inamlenga yeye nami nikamwambia kuwa Yeye wakati ananichonganisha na huyo Mwanaume wake alikuwa anategemea nini? Ghafla akakata Simu.

Alipomaliza tu kuikata Simu nikaona nikapigiwa Simu na huyo Mwanaume wake sasa na alichoanza kuongea na Mimi ni kuniomba radhi kwa yale yote aliyonitamkia lakini kubwa zaidi akataka tu kujua nimetembea nae huyo Demu wake kwa muda gani na Mimi kutaka kumwonyesha kuwa sikuzaliwa ' Mbwinde ' bali nimezaliwa ' Town ' kabisa tena Ilala nikamjibu kuwa nimeshatembea nae kama mara 17 hivi na mara zote hizo nimekuwa ' nikimbandua ' mabao matatu matatu ( 3 ) hivyo apige Mahesabu yake atajua mpaka sasa nimeshamwambukiza ' Vijidudu ' Demu wake mara ngapi.

Nilipomaliza tu kumjibu hayo huyo Jamaa nikaanza kumsikia ' akilia ' tena kwa sauti kubwa mno akisema namnukuu " Mpenzi wangu umeniua.....Mama yangu weeeeeee.....nitapeleka wapi aibu hii....kipi ulikikosa kwangu....bora nijiue tu....Mungu nisamehe " na ghafla nikasikia na yule Demu nae analia na kumwomba radhi Mumewe huku Simu yao ikiwa bado haijakatwa kisha yule Mwanamke akaichukua ile Simu ya ' Basha ' wake na kuongea na Mimi kuniomba nimsamehe hasa Yeye kwa kitendo alichonifanyia na kuniomba niongee na huyo ' Basha ' wake na nimwambie tu ukweli kuwa ' sijatembea ' nae na wala sina ' maambukizi " ya UKIMWI kwani anavyomuona huyo ' Basha ' wake ni kwamba anaweza ' kujiua ' kweli kwani amechanganyikiwa.

Sasa wana JF wenzangu mnanishaurije manake alipomaliza tu kuongea hayo nikakata Simu yake ili nitafakari nini cha kufanya kwani yote haya kayataka mwenyewe huyu Dada. Je nimpigie Simu yule Jamaa yake na nimwambie kuwa nilikuwa tu ' namdanganya ' kama siyo kumrusha tu ' roho ' au niache hivyo hivyo tu liwalo na liwe? Kwani matusi, kashfa na vitisho vya yule Jamaa yake vilikuwa ni vikubwa na havivumiliki.

Nasubiri mawazo yenu.
Umenichekesha sana, na umenikumbusha siku moja jamaa akanipigia kuwa naongea na mke wake usiku sijui kama ameolewa? Na kunitukana sana, halafu nikamwambia brother huyo mwanamke ulimkuta bikira? Kwa taarifa yako mm ndio nilimbikiri, akakataa simu hapo hapo na wakaachana na yule demu
 
Safi sana Mkuu ulifanya jambo jema mno na la ' kutukuka '.
 
Leo nimecheka sana tangu nimeanza jf miaka kama sita au nane nyuma....id nyingine hii...but nimecheka niko ndani kwangu mpaka nikaanza kukohoa kwa kucheka.....umetisha mkuu nimecheka sana.....we ninja

Haya bhana!
 
Back
Top Bottom