EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
jamaa mmoja alikuwa anaongea na sir GOD live ilikua kama ifuatavyo !!!!!!!!!
jamaaa: shikamooo sir GOD !!!!!!!!!
SIR GOD; marahaba ! unasemaje !
jamaaa ; hivi ni kweli kwako karne sawa na siku moja !
SIR GOD; ndio !!!!!!!!!!
jamaaa; pia ni kweli billion moja ni sawa na shiling kumi !
SIR GOD;ndio
jamaa: basi naomba shillingi kumi !!!!!!!!!
SIR GOD: usijari subili siku moja !!!!!!!!!!