Kali ya mwaka !!!!!!!!!!

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
jamaa mmoja alikuwa anaongea na sir GOD live ilikua kama ifuatavyo !!!!!!!!!

jamaaa: shikamooo sir GOD !!!!!!!!!

SIR GOD; marahaba ! unasemaje !

jamaaa ; hivi ni kweli kwako karne sawa na siku moja !

SIR GOD; ndio !!!!!!!!!!

jamaaa; pia ni kweli billion moja ni sawa na shiling kumi !

SIR GOD;ndio

jamaa: basi naomba shillingi kumi !!!!!!!!!

SIR GOD: usijari subili siku moja !!!!!!!!!!
 
ha ha ha ha ha!!!! alijifanya mjanja kuizunguka nyumba kwa ndani.
 
tehe tehe tehe tehe, hii imetulia. Usipofanya kazi na usitafune - subiri karne 1 ili uvune kijicenti kimoja (lugha ya ki-Chenge) tihi tihi tihi
 
Back
Top Bottom