OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,289
- 104,129
Mch.Zakaria Kakobe ameunga mkono kundi imara la UKAWA kusimamia msimamo wao wa kutorudi bungeni kama maoni ya wananchi hayatazingatiwa.Pia amewashangaa viongozi wa wengine dini kuwataka UKAWA kurudi bungeni bila kushauri namna ya kutatua mgogoro."Mbona hamuishauri CCM ijadili rasmi ya wananchi,mnawataka tu UKAWA kurudi bungeni" alisisitiza Mch.Kakobe.Source:Nipashe!