Kakobe akemea ushoga - Uingereza watoa agizo sheria itengenezwe

Kumbe sisi wenyewe ndio tunamtia ujinga, Rais wetu! Yaani, wewe ulimchagua afanye ninil; awepo ikulu kwa kazi gani?
Je wafahamu kwamba Waziri yeyote anaweza kutamka jambo na Rais akatengua.... Lakini Rais akizungumza ni FINAL...

Rais ndiye mwenye mamlaka FINAL... kwa kauli zote za Serikali.

Tunahitaji kauli FINAL..
 
jakaya murisho kikwete anapaswa kutoa tamko la kupinga ushoga kwenye vyombomvya habari na siyo kwenye twitter.

Wakati anaomba kura alikuwa anaongea na watanzania hadharani na sio kwenye twitter

ni aibu rais kutoa kauli kwenye twitter hii ni tabia ya ushoga!!!
 
Nimebahatika kupata tape ya mahubiri ya jana tr 6/11 ktk kanisa la F.G.B.F yenye somo KAMA SIKU ZA SODOMA NDIVYO ITAKAVYOKUWA SASA.
Ktk somo hlo alitumia muda mwingi kuchambua hstoria ya ushoga mpk sasa ulipofikia.
Pia ametoa tamko kama askofu kwa David Cameron kua Tanzania haipo tayari kufanya ufirauni na ufiraji kama huo.
Pia amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoa tamko kama mkuu wa nchi kama alivyofanya Rais wa Ghana siku ya tr 2/11 kwani la Waziri Membe halitoshi.
Pia ametoa wito kwa wanaharakati wasibaki nyuma hasa kwa kipindi hki ambacho mtoto wa malkia wa Uingereza Prince Charles ili kumuonyesha hisia zetu na watakapoandaa wasisahau kumualika yeye (KAKOBE) na atakua mstari wa mbele, na amemwambia Kamanda Kova awaache watu waonyeshe hisia zao na asiwabugudhi.
Kama utaweza pata hyo tape au CD itakua vzuri kwan ameongea mengi mno mpk source ya tamko hlo la DC kua ni nchi za Malawi, hana na Uganda kuwachukulia hatua za kisheria masoga.
 
Kumbe sisi wenyewe ndio tunamtia ujinga, Rais wetu! Yaani, wewe ulimchagua afanye ninil; awepo ikulu kwa kazi gani?
Je wafahamu kwamba Waziri yeyote anaweza kutamka jambo na Rais akatengua.... Lakini Rais akizungumza ni FINAL...

Rais ndiye mwenye mamlaka FINAL... kwa kauli zote za Serikali.

Tunahitaji kauli FINAL..


Ni kweli kabisa werawera, kumbe wako baadhi ya Watanzania wanaomtia ujinga Rais wetu Kikwete.

Kauli ya Waziri, siyo ya mwisho. Baada ya Waziri kutoa kauli, Rais anaweza kuibuka na kutoa kauli iliyo tofauti na kauli ya Waziri wake. Mfano wa hivi karibuni, ni kauli kuhusu Katiba Mpya.

Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Ompeshi Kombani, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema, kwa nyakati tofauti mwaka jana; wote walisema haiwezekani kuandikwa Katiba Mpya, na badala yake kinachowezekana ni kuifanyia marekebisho iliyopo.

Tarehe 31.12.2010, katika salamu zake za Mwaka Mpya 2011; Rais Jakaya Kikwete, alitoa kauli iliyopingana na hao. Alisema, "... Mwaka 2011, nchi yetu inatimiza miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara, miaka 47 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar na miaka 47 ya nchi zetu mbili. Yapo mabadiliko mengi yaliyotokea katika nyanja mbalimbali za maisha yetu, na watu wake; katika kipindi hiki. Kwa ajili hiyo, NI VYEMA KUWA NA KATIBA INAYOENDANA NA MABADILIKO NA MATAKWA NA HALI YA SASA." Katika salamu hizo pia, aliwataka Watanzania kutoa maoni ambayo yataiwezesha nchi yetu kuwa na KATIBA MPYA itakayokidhi matakwa ya sasa, na ya miaka 50 ijayo. Kauli hii ya Rais, ndiyo imekuwa kauli ya mwisho; inayotendewa kazi hadi sasa.

Ndiyo maana tunataka kauli ya Rais kuhusu kuhalalisha ushoga na usagaji. Ikiwa aliona "suala lile la TUCTA", kuwa na umuhimu wa kulitolea kauli ya "mbayuwayu", basi suala hili la sasa, lina uzito kuliko lile la TUCTA; kwa vigezo vyote.
 
Una uelewa gani wewe? Acha kupotosha watu. Kama huna uhakika na unachokiandika, usiandike. Yote uliyoandika hapa ni uongo mtupu.
Kwa uelewa wangu wa Kikristo japo mie sio Mkatoliki, mageuzo ya mkate na divai kuwa Mwili na Damu ya Yesu hayafanyiki kila jumapili, kuna wakati na wakati tendo hilo linapofanyika, so kila jumapili ambayo tendo hilo la mkate na divai halikufanyika bali misa haikufanyika, ndiicho unachomaanisha mkuu?
 
Kwa uelewa wangu wa Kikristo japo mie sio Mkatoliki, mageuzo ya mkate na divai kuwa Mwili na Damu ya Yesu hayafanyiki kila jumapili, kuna wakati na wakati tendo hilo linapofanyika, so kila jumapili ambayo tendo hilo la mkate na divai halikufanyika bali misa haikufanyika, ndiicho unachomaanisha mkuu?
Tuache mambo ya Mìsa. Lakini Wakatoliki wana adhimisha kila siku. J2-jmosi
 
Umaskini huu!! Yaani !! Yaani !! Mpaka TZ iwe nch ya kishoga (mbwa kibiblia) ndiyo tusaidiwe. Au ndo mzee aliwapendekezea ktk maongezi wakati anaomba misaada! Akawa ktk utani, kumbe wao wakawa seriously! Si ndiyo wamesema hadharani.
 
Giza limetawala Uingereza , huu na mda kwa Waafrika kuwafundisha Waingereza na fundisho la kwanza ni kuandaa TSHIRT hapa nchini za kupinga kauli ya Ushoga ya Davi Kameruni na kuvaliwa wakati wote na mahali popote , kama sera ya Tanzania.

Tshirt hizi zitakuwa Mabango ya kutosha Milele.
 
Good Bishop Kakobe! Maana yeye si Mnafiki kama Gamanywa!

Usiseme hivo kaka utasababisha watu wa Great thinker waanze kumtukana Askofu Kakobe bure, kama walivyo mtukana kwenye ile thread ya (Kakobe amfananisha Babu wa Loliondo na DECI) Walimtukana wee, lakini akawaambia mtauona mwisho wake. Leo hii wale walomsifia Babu wakowapi? Nani ka aibika? Kweli itasimama. Na kwakuwa Bishop KAKOBE anahubiri kweli ya neno la Mungu ndo maana wanamrushia madongo. Askofu Leizer aliye wahakikishia WATZ juu ya tiba ya babu yeye leo hii wamefyata, kwa kuwa hana kitu. Aishi milele mtumishi wa MUNGU aliye hai Zachary Kakobe. Siyo mungu wa dini ya Ask. Leizer na Babu wao Mwaisapila(the whichdoctor)
 
Isije kuwa KIKWETE kamwomba CAMERUN alianzishe ili asionekane yeye ndiye anayetaka huo ushoga wakati kweli anautaka,asingeutaka angezungumza asingekaa kimya hadi sasa sababu Kamerun ameattach ushoga kwenye misada,hii ni swala kubwa sana,yupo kimya kupima upepo kama ajenda yake inaweza kupita.
Haingii akilini kwamba Kikwete haoni kashfa katika hili,hadi kushindwa kumjibu Kamerun,anaogopa Kamerun atamuumbua kwamba si wewe ndo uliniomba nishinikize. TAFAKARI
 
Isije kuwa KIKWETE kamwomba CAMERUN alianzishe ili asionekane yeye ndiye anayetaka huo ushoga wakati kweli anautaka,asingeutaka angezungumza asingekaa kimya hadi sasa sababu Kamerun ameattach ushoga kwenye misada,hii ni swala kubwa sana,yupo kimya kupima upepo kama ajenda yake inaweza kupita.
Haingii akilini kwamba Kikwete haoni kashfa katika hili,hadi kushindwa kumjibu Kamerun,anaogopa Kamerun atamuumbua kwamba si wewe ndo uliniomba nishinikize. TAFAKARI


It sounds true! Unaona hatari iliyopo, kwa Rais Kikwete, kuacha kutoa kauli kuhusu issue ya ushoga ya Cameron? It gives room, to a thousand speculations! Some of them deadly!
 
Hongera mtumishi wa Mungu askofu Kakobe kwa ujasiri wako. Mungu akubariki sana kwa kuisimamia kweli ya neno la Mungu. Laiti viongozi wetu wote wangelikuwa na ujasiri kama huu!
 
[h=2]Serikali ya Tanzania Imeruhusu Ushoga.[/h]
kuna watu watabisha , ila kwa VITENDO serikali ya Yetu imekua ikifumbia macho vitendo vya USHOGA vinavyofanywa na Watanzania wenzetu hasa mikoa ya pwani , Dar es salaam na Tanga.

Mfano nikiwa Tanga , nimewahi kushuhudia mashoga na mabwana zao pale Tanga hotel katika sherehe ambazo sikuweza kujua , hii ilikua mwaka 2003. Na kama kuna mtu anabisha aende Tanga leo akahudhulie hata sherehe za Baikoko atashuhudia nisemacho, mamia ya vijana ni Mashoga , na hakuna anewakata wala kuwahoji juu ya mwenendo wao.

Mwaka huu mwanzoni nikiwa Dar es salaam , niliwahi kukutana na kimbembe cha aina yake kule magomeni jirani na Magomeni mikumi, makumi ya vijana mashoga wakiwa kwenye shughuli ambayo nayo sikuijua jina.

Je kwa vitendo/by Implication Serikali haijaruhusu ushoga,? Je Nani hajui kuw kuwa ushoga unaendelea kusambaa Tanzania ?

Je kwakufumbia macho hayo yanayoendelea sio ISHARA kuwa serikali imeruhusu na kwakujidai kumkemea Cameron sio mbinu yakuficha ukweli tu.

mfano Huyu chini ni shoga maarufu jijini Dar es salaam, nimewahi kukutana nae katika maonyesho kadhaa ya muziki wa dance , anatafunwa na madume wenzie, hakuna hata anampeleka kwenye vyombo vya dola, si police, si mgambo, ndio maana nasema ushoga umeruhusiwa ambacho hakijaruhusiwi ni kusema kuwa Upo na mashoga wamepewa haki yakugagaduliwa.

 
MSAADA:KAULI YA IKULU KUPINGA USHOGA IKO WAPI ?

Songa mbele askofu Kakobe; kwa kukemea kila chanzo cha dhambi duniani !
 
Back
Top Bottom