Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Askofu Zacchary Kakobe; leo katika misa na ibada ametamka kwa nguvu na kukemea juu ya agizo la Nchi ya Uingereza juu ya Sheria ya kukubalika na kutambulika kwa MASHOGA katika nchi ya Tanzania.
Vivyo hivyo Askofu huyu, ametoa rai kwa wanaharakati Tanzania kuandaa maandamano ya kupinga kutengenezwa sheria hiyo. Amesema wakati mzuri wa kufanya hivyo ni kwenye ziara ya Prince Charles na Mkewe Camilla. Vilevile amesema kwa wanaharakati kwamba wakiandaa maandamano hayo wampe taarifa na atakuwa kinara wa maandamano hayo.
Pia amemwambia Rais Kikwete kwamba naye atoe tamko kuhusu hayo.
Nawasilisha....