Kaka yangu alizaa na mke wa mtu

mwambie ajiandae aanze mazoezi mapema kabisa uwe unajipaka mafuta anza na karot ukibobea tumia ndizi. muosha uoshwa
 
Nafanya imagination ni wangapi wanalea watoto wa wenzao.
Ukilea unajuwa vzr km mwanamke amekwambia,ila kaka unaleeee ukijiwa wako tena toka mimba mpk kidato,ndugu jamaaa wanajuwa wako.Wanaojuwa c wako wachache usiombe ikutokee hukumu nitakyotoa itajulikana cku hyo hyoooo,ila kwa kweli wa muache huyooo mtt asome na huyooo malaya kaka yako atulie kbs na wewe utulie.Pesa yenu ya kibaba isiwape kiburi mtamuharibia mttt kisakolojia.
 
Mwambie akafanye vipo kaka yako vya DNA,c kila ukitembea na mwanamke unasema mimba yako.Hata nyani wanafanana hata kuponza huyooo kaka yako na umalaya wake
 
Huyo mwanajeshi atawapiga risasi huyo mtoto, mkewe na wewe mwenyewe kwa wakati mmoja!~ Pata picha ugundue eti mke wako kazaa mtoto na mwanaume mwingine huku ukiwa ndani ya ndoa.
 
Back
Top Bottom