Kajunguti na Kituntu boys mpo?

Mutensa

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
421
90
Wadau tunaendelea kutafutana kwa mashule tuliyopitia. Naomba kujua kama kuna wale waliopitia Kajunguti na Kituntu, wazee wa New Field, Kajunguti A, Kajunguti B, Sahara, etc ...
Bila shaka hamtasahau Salus na Kapernaum.
Karibuni tutambulishane jamani .....
Najua wengi wenu mliofika huko hamtasahau Ilungata kwenye Pre-"...." yake.:D
 
Back
Top Bottom