Kaimu RPC Arusha akanusha tuhuma

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Habari toka Radio 5 Arusha kaimu RPC Arusha Mpwapwa amesema hiyo ya afande Zuberi kuita wananchi panya ni uzushi yeye hana taarifa nawasilisha.
 
Ninakila haki ya kumuita mpuuzi (kama taarifa zako ni za kweli) kwa kusema ni uzushi wakati akisema hana taarifa......sasa kama hana taarifa anajuaje kama ni uzushi? jamani akili ni mali sana...

BTW Kutokujua ni kawaida yenu wote, Rais wenu akiwaongoza
 
In an 'anarchy' state like Tanzania every public official considers himself to be above the law.
 
Arusha CCM walimtosa RPC Batheo (sp) yule aliyekataa katakata wananchi wasipigwe mabomu na kura zisiibiwe na CCM wakati wa uchaguzi. Hawa wengine ni vilaza tu hata huyo Ade, na huyu staff officer ambaye ndiyo acting ni vilaza wapambe tuu..
 
Ndivyo RPC Arusha alivyotumwa asemana mabwana zake kwa maana hana taarifa lakini kashfa ya zuberi ni uzushi; kwa hiyo matumuizi ya akili hayapo. Subiri kauli ya CCM ndipo utachoka, watasema hawahusiki na yanayotokea Arusha.
 
Zuberi amegeuka bubu? Na huyu Kaimu anasema ni uzushi kwa vipi? alikuwepo? Amemhoji Zuberi? Na itakuwaje uzushi wakata anasema hana taarifa? au ni yale ya 'shell ya engen?
 
Huyu Mpaupau si ndiyo huyu huyu wa kipindi chote cha matukio ya ugandamizaji wa haki hapa A town! Nilitanguliza kitambo kauli hii ya kwmb hakika hawa maarosto walioko hapa Mkoani kutumikia sisiem na kuacha kulinda raia na mali zao halafu wanakuja kujazana siku wakisikia CDM wako pale mahakamani,,,,,,,,,,,,,Yani nawaambia watakuja jutaga na kushika vichwa. Huyu mkaimu naye anasema zuberi ajawaita raia panya hebu tumwache alivyo halafu hz salaam tutamhusisha yule mkubwa wake yule angenye ila nina wasiwasi nimekosea majina yao ila nitaeleweka tu. Col. Gaddafi amewaita raia wake MENDE lakini hatima yake Mi nafikiri hata yule PAPA MKUBWA wa hawa mafisadi anajua alipo huyo Col Gaddafi.
 
Kwa hiyo unataka kulazimisha iwe kweli wakati afande amesema ni uzushi.
inaonyesha akili yako mtambo, afande kasema uzushi huku bado anahitaji afuatilie, hapa maanake bado hana uhakika, kwahiyo yeye kusema uzushi ,ni lazima awe mkweli? huku bado hana majibu na taarifa sahihi?kuwa na busara! ucha umtambo.Afande si mungu anaweza kupotoka na pia kutetea masilahi yake kulinda uozo.
 
Mpwapwa aliwahi kukana hata maneno yake yaliyorekodiwa na video, akasema siyo yeye. Sembuse sisi kuitwa Panya na huyo mkunyanzi wake!
 
inaonyesha akili yako mtambo, afande kasema uzushi huku bado anahitaji afuatilie, hapa maanake bado hana uhakika, kwahiyo yeye kusema uzushi ,ni lazima awe mkweli? huku bado hana majibu na taarifa sahihi?kuwa na busara! ucha umtambo.Afande si mungu anaweza kupotoka na pia kutetea masilahi yake kulinda uozo.

Achana naye mkuu,mtu mwenyewe anajiita Sugu1,maana yake ni mgumu kuelewa kabisaa!
 
Kwa hiyo unataka kulazimisha iwe kweli wakati afande amesema ni uzushi.

una maana maafande na malaika ngoma droo! kwa ubovu wa akili ulionao, ahera nikikuta upo peponi pamoja nami, nitamuomba mungu anitoe huko na kunitupa jehanam!!!
 
ulevi wa madaraka siku zote husababisha kuwaona watu wengine wazushi,lakini sisi tuna sema uzandaki na unafiki umefika kikomo,nguvu ya umma ni sauti ya Mungu,saa ya ukombozi ni sasa,kila usaliti uliofanywa na makajanja wa cha magamba utalipwa kwa gharama kubwa.Mungu ibariki Tanzania,Mungu tubariki Watanzania tuache unafiki tupiganie haki zetu bila kujali mabomu
 
Back
Top Bottom