Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Tanzania pokea ushauri dhidi ya ubadhilifu katika vyama vya ushirika

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,016
8,370
Kwanza nachukua fursa hii kuipongeza Coasco kwa kazi nzuri ya kukagua mahesabu katika vyama vya ushirika vya msingi, nina imani pia na vyama vya Akiba na Mikopo vitakuwa vimejumuishwa.

Kupitia vyombo vya habar tumejulishwa kuwa ni zaidi ya Biliono 124.53 zinakisiwa kuwa zimepigwa katika hivyo vyama.

Sasa kwanza nina ushauri jinsi ya utekelezaji wake.

Kwanza,nakusahuri uunde kikosi maalumu kutoka makao makuuu kiwe na jukumu la kufanyia kazi Ripoti hiyo.

Kwa nn nimekushauri hivyo? Ukweli ni kwamba endapo utaamua kuwatumia makamanda walioko maeneo husika wawafatilia watuhumiwa kazi haitofanikiwa kabisa kwani hiyo ripoti ya coasco,si tu kuwa vijana wako waho huko waliko hawakuwai kufanya ukaguzi walisha fanya na kuwasilisha wengine ofisini kwako,wengine wamepeleka ofisi za wakuu wa mikoa kwa kuwa walio tajwa kwenye ripoti za uchunguzi wa Takukuru unawataja viongoz ambao ni maswaiba wa wana siasa hakuna hatua iliyochukuliwa nitakupa mfano kidgo.

Mfano kuna chama cha Akiba na mikopo kinaitwa IMARA SACCOS LITD kipo mkoani mara Taasisi ya kuchnguza na kupambana na rushwa ikiongozwa na kamanda wa Takukuru mkoa ilifanya uchunguzi na kugundua ubadhalifu wa zaid ya Miloni 89m,zilizokisiwa kuibwa na aliyekuwa Meneja/mwenyekit wa kile chama Bwana Bonifasi Ndengo Ripoti hiyo ukimuuliza kamanda Takukuru mkoa wa mara anakwambia iko kwa DPP huu ni mwaka wa 3, waziri mkuu alisha toa oda huyo bwana akamatwe na afikishwe kwenye vyombo vya uchunguzi hakuna kilichofanyika kisa huyo bwana anaulinzi wa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya ya musoma mjini, anaulinzi wa mbunge wa musoma mjini kwano huyo bwana ni shemeji yake,

Sasa ukisema utumie kamanda wa Mkoa wa mara kumbana BONIFASI ndengo ni ngumj vijana wako utawatia kweny matatzo makubwa ila nina amini ukiunda kikosi maalumi utafanikiwa kabsa maana wao wataogopwa.

PILI; nina kushauri kikosi maalumu utakachokiunda kipewe SEMINA AU MAFUNZO WALAU YA WIKI MOJA KUTOKA KWA WATAALAMU WA USHIRIKA WALIOPO HAPO TUME YA USHIRIKA.

kwa nini nina kushauri hivo,ni kwa sbabu mkuu wangu mimi kwa takiribani miaka mitatu nikiwa mdau wa ushirika, nimegundua Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ina stafu wengi wasio jua hata kufanya cooperative flaud investigation, yani unakuta Afisa wa Takukuru hajui kusoma hata leja ya mwamachama, hajui ni nini maana ya hati ya malipo? Yani hajui lolote,nimesema hivi kwa sababu wasije kwenda kwa kutegemea ripoti ya COASCO tu maana kwa takiribani miaka kadhaa ya nyuma shirika la coasco limeyumba sanaa wakaguzi wake wamekuw wmepwaya sanaa yani mkaguzi wa coasco anapelekewa nyaraka za ukaguzi ofisini kwake meneja anabeba reja na nyaraka nyingine zote kupeleka coasco na meneja anaandaa rushwa ya kumuonga mkaguzi wa coasco hapa naomba ujiulize wizi huo wa mabilioni ni waleo au siku nyingi?kwa nn unaonekana leo wkati coasco kila mwaka inakagua vyama hivyo? Nina kusiii team yako iende mbali zaidi.

Nimeomba Team hiyo ipewe semina ntakupa mfano wa kisa kimoja wapo, kuna chama cha akiba na mikopo kinaitwa GEITA SACCOS LTD kipo mkoan Geita kweny jengo la ccm wilayani hapo, yani kile chama kilifanyiwa uchunguzi na wakaguzi ofisi ya mkuu wa mkoa wa Geita ripoti ipo ukiitaka nitakupatia, ilionesha ubadhilifu mkubwa wa pesa zaidi ya MILIONI MIA MOJA NA TISINI, AFSA wa takukukuru mkoa wa Geita akaelekezwa achhkue hatua dhidi ya ubadhilifu yeye akachunguza na kubaini wizi mkubwa akafungua shauri mahakama ya wilaya Ndugu yangu kaimu mkuu wa takukuru huwezi amini wale mabwana walio shutumiwa waligundulika ni kweli kuwa wamepelekea pesa ya umma kupotea na nikubwa ila hukumu ilitoka watuhumiwa waliukumiwa kulipa Faini Milioni moja au kwenda jera mwaka mmoja, hapo ndipo nilipogundua kuwa una watumishi wasio weredi ni bora wangeambiwa fedha zirudi sasa.

Mfano mwengine, nenda nilikwenda kilimanjaro,na ukelewe maafisa wako wengi hawajui kama hata ushirika ni taasisi ya umma, tafadhali Team utakayo iunda hakikisha inajua maana ya ushirika.

Tatzo ilo lipo hata Wilaya ya ngudu kwimba nashukuru kamanda wa Takukuru pale mlimwmisha kwa ulinzi wenu, ila kiukweli pale Ngudu kwimba vijana wa takukuru wamechunguza chama cha ushirika cha watumishi wa almashauri ya ngudu kwimba, kwakweli wamejitaidi kuripot ila hakuna hatua yoyote kliyochukuliwa dhidi ya uchunguzi wao kila wakiulizwa wanasema faili lipo kwa DPP ni zaidi ya mwaka wa nne na walio fanya ubadhlifu wapo na ni watumishi wa umma, tafadhali Mkuu ninayokueleza hata ukitaka ushaidi nitakupatia.

TATU; KIKOSI UTAKACHOKIUNDA KUFATILIA WABADHILIFU,waundie kikosi cha kuchunguza kikosi hicho tena, hapa sjui kama utanielewa mkuu, hala nitakupa mfano wa kikosi kilichoundwa kwenda kuhakiki wakulima walio staili kulipwa pesa za KOROSHO kikosi hiki kilikuwa kinaaminika sanaa kuwa ni kikosi kinachoundwa na watumishi wa umma hakiwezi pelekea malipo HEWA na pesa zilitoka serikalini mkuu wangu mimi kikosi hiki kimenifanya nimeanza kuchukia baadhi ya watumishibwa umma na kujikuta najiuliza kwa nini watu hawa hawampendi RAISI WETU NAMNA HII na ni boss wao jamani? Yani wiki takiribani nne nilikuwa mkoa PWANI katika shughuli zangu ambazo pia ni za kiserikali niliumia nilipokuta mkulima mmoja akiniambia kjwa yeye alitakiwa kulipwa shilingi milioni tatu tu kama malipo halari ya korosho ila alilipwa milioni NANE,NA aliyepelekea yeye alipwe kiasi hicho alikuwa ni Afsa mmoja aliye kuwa kwenye wale WAHAKIKI na yeye alipolipwa hizo pesw ilibidi ampelekee kiasi hicho kilichoongezeka sasa sasaiv huyo mkulima amepewa barua na mkuu wa wilaya akimtaka arudishe fedha hizo na baati mbaya akimpigia yule bwana Mhakiki simu yule bwana mhakiki hapokei simu zake tena, sasa huyo mkulima anapanga kulipa pesa hizo kwa kutumia hicho kidogo alicholipwa.

Kutokana na mfano huu, ninakusihii mkuu hat kikosi hicho ukiundie team ya kukichunguza kabisa mapema maana wanaweza fika huko na kuishia kuongwa na fedha zisirudishwe, ningekushauri kikosi cha kuchunguza hiyo team usitoe miongoni mwa watumishi wa UMA,NASEMA HIVYO NYINYI WATUMISHI MNATABIA YA KULINDANA,mimi nipo tayari kukusaidia katika ili, ni baati mbaya hatupati ushirikiano mzuri ila mimi nina ushaidi wa kuona kabisa maafisa wako waliopewa jukumu la kuchunguza rushwa wakiomba na kupokea rushwa mifano hiyo ni WILAYA YA MAGU sakata ilo ilo la saccos ya magu teachers, Wilaya ya Kwimba Ngudu, saccos ya watumishi wa Alimashauri Kwimba yupo kijana alicbunguza ubadhilifu mwishowe nae akatamani unabdhilifu na mwishowe akawa mbadhilifu na alitamani na mm nishiriki ila nilimwambia sishirikiani na wahenzi hata ukitaka nikupatie jina ntakupatia, Tatzo ilo lipo Wilaya ya ukelewe chama cha akiba na mikopo ukelewe saccos hapo takukuru wamejigeuza wakusanya madeni wanaita wadaiwa wanalipwa wao badala ya chama,Tatzo ilo lipo mkoani kilimanjaro Wilaya ya moshi vijijini chama cha akiba na mikopo Tumaini na kwingine kwingi

Nne; KIKOSI CHAKO KIJIRIDHISHE DHIDI YA TAASISI YA COASCO NA RIPOTI YAO.

hapa ninajua uanweza kupata kigugumizi ila kiukweli kuna rushwa kubwa sanaa ibatembea kati ya wakaguzi kutoka coasco na mameneja na watendaji na viongozi wa vyama vya ushirika, kiukweli hata hiyo ripoti iliyokabidhiwa mimi sina imani nayo ninaisi ni kiasi kikubwa kimeechwa, kwa mantiki hiyo kimosi utakacho unda kiitumie hiyo ripoti kama primary source of information nadhani nikisema hivyo unanielewa kikosi hicho kiende mbali zaidi, vyama hivi vina mambo mengi sanaaa, ninajua kikosi chako kikiamua kufanya kazi inavyotakiwa ninakuhakikishia hakika utakuta mengi, lazima ukutane na rushwa kati ya MAAFISA WA COASCO NA WATENDAJI WA VYAMA, PIA HUTOIKOSA RUSHWA KATI YA MAAFISA USHIRIKA NA MAMEJA NA VIONGOZI WA VYAMA, ili nimeona nilosemee kidogo lakini kikosi hicho kikiwa makini hakitokosa RUSHWA KUBWA SANAA KATI YA BODI ZA VYAMA VYA USHIRIKA NA MASHIRIKA YALIYOVIKOPESHA MFANO BENKI YA CRDB ukifika chama kama magu teachers utakuta viongozi wote walipewa mikopo wakiwa bar pesa kutoka benki kuingia saccos viongozi wao walipewa pesa bar hata hawakumbuki ni kiasi gani walipewa.

Nitakupa mfano mmoja mdogo sanaa, chama kimoja kinaitwa MKASU SACCOS LTD kipo morogoro pale kabla ya ifakara,kijiji kinaitwa kiberege, chama kilikopeshwa milioni 300m, milioni 50,ilibakia kwa mhasibu mkuu wa benki ya TIB yupo kazini mpaka leo pesa zaid ya miloni 150,zilingizwa kweny akaunt ya agrovet mmoja ambaye nae alisambaza mbolea feki, kiasi kilichobakia ni matatizo matupu najiuliza milioni 50m alizokula mhasibu mkuu wa Tib znalipwa na nani? Lakini je kwa nini aliunda kampuni iliyoingiziwa kiasi cha milioni 150m kwa mtu hasiye husika mwisho wa yote wanao daiwa ni wakulima wa chini tu?

Niwe pia mkweli,katika kikosi chako hicho lazima kijiandae kukutana na Rushwa kati ya uongozi wa chama na makaimu warajisi wa mikoa,haiwezekani chama kinadaiwa mikopo zaidi ya mmoja na hakilipi bado kaimu mrajisi anatoa tena ukomo wa madeni kwa chama hicho hicho hiyo kama sio rushwa ni nini? Lazima utakutana na rushwa kubwa kati ya wateule wa Rais kwa maaba ya wakurugenzi na viongozi wa vyama vya watumishi haiwezekani chama cha watumishi hakilipi deni ilihali mkurugenzi wa eneo usika yupo na chama hicho alikitanbulisha kuwa kipo na watumishi wapo sasa unajiuliza kipo wapi na watu hao wako wapi?

Kikosi hicho kijiandae kukutana na RUSHWA KUBWA KATI ya wadaiwa sugu na watu wanao Itwa court BROKERS hapo mfano mzuri ni MUSOMA SACCOS LTD.

kama haitoshi utakutana RUSHWA KUBWA kati ya wadaiwa SUGU NA mahakama za mwanzo na mahakama za wilaya yani

Ninaendelea kukuomba kaimu Mkuu wa Takukuru taifa hii kazi uliyopewa si yankawaida ni ngumu sanaa.

Tano na mwisho; kikosi chako KIPE MENO NA NGUVU KUPIGANA NA TABAKA TAWALA(HASA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI KOTE) katika pointi hii ninaongozwa na sheria ya nchi ambayo inawataka watendaji wa takukuru wasiwe wanasiasa, mkuu wangu kwa takiribani mwaka wa tatu sisi tuliopewa jukumu ili la kufanya kazi hii tukijitoa kupambana na tabaja moja la utawala kwa asilimia zaid ya 60, ninataka nikusihi kikosi chako ukipe ujasili dhidi ya vitisho, kutukanwa,kufokewa na kadhalika kwa ufupi ni kuwa kikosi kinaingia vitani kupambana na baadhi ya wanachama wa chama cha mapinduzi ambao walisha jua kupitia ccm ushirika ni shamba la bibi hawawezi guswa ntakupa mifano paspo kuogopa maana kama ni vitisho wameisha nitishia ila naweza sema wameshindwa kutekeleza wanayoyasema.

Mfano huyo bwana niliyekwambia kuwa anaitwa ni BONFASI NDENGO, yeye alikuw mgombea wa kiti cha uraisi kwenye kura za maoni ccm mwaka 2015 hapo kikosi chako kijiandae kukutana na kauli inayosema kuwa mimi siongei na kikosi ninaongea na MAGUFULI niliyegombea nae uraisi. Ni mbadhilifu wa imara saccos najua kweny ripoti y COASCO hayumo kabsa.

Nenda pale GEITA SACCOS LTD, UTAKUTANA NA MWENYEKUTI WA CCM WILAYA YA GEITA, hapo kikosi chako kiniandae kukutana na lugha ya kuwa mimi ni mweshimiwa ntalipa, kwenye chama hicho hicho KIKOSI CHAKO kitakutana na orodha ndefu sanaaaaa ya makatibu wa ccm ambao ni waajiliwa katika wilaya mbalimbali wanazaidi ya milioni 60m yani ni aibi mkuu wangu.

Ukienda UZINZA SACCOS HAPO sengerema hapo ni aibu viongozi wa chama hawako nyuma yani ni shida cha kufanya kikosi chako kinoe vyema.

Mimi ni mdau wa ushirika nchini.
Jina langu ni sifileo
Nikukaribishe kamanda tushirikiane mengine sidhani kama ni busara kuyaweka hapa kwa kulinda heshima za kazi za watu.
Asante karbu iangiro.
 
Unaandika Kama unakimbizwa, hakuna kaimu Mkuu wa Takukuru Bali Ni kaimu mkurugenzi mkuu, pili usiwafundishe wataalam kufanya kazi zao za kitaalam unataka ushirikiane nao unafikiri wanataka kutengeneza tamthiliya best? Whistle blower noma peleka taarifa jua mahakamani wanataka wampate na mlalamikaji aelezee scenerio, karibu
 
Miaka nenda miaka rudi COASCO wamekuwa wakikagua hesabu za vyama vya Ushirika. Inashangaza hawakuona chochote kibaya. Baada ya agizo toka juu wamegundua kuwa huko kwenye hivi vyama vya Ushirika kumeoza. Je tunajifunza nini kutokana na taarifa hii?
 
Ndugu zetu mlioko serekalini onyesheni ushirikiano kwa aliewamini ,nchi ni yetu na nyie mkiwemo, uchumi ukiyumba utagusa wote, jitahidini kuonyesha uzalendo angalau kwa kutimiza wajibu hata kwa 75% . Pia mkikwapua hizo hela msiende kuhonga wanawake na kunywa beer, wekezeni kwenye uzalishaji . Si kwamba nawaunga mkono ila ni kwa sababu hela zinazokwapuliwa na wasiowaaminifu haziendani na kasi ya maendeleo hata yao though siwajui. Utendaji kazi yako Ndio uthibitisho wa uzalendo wako
 
Back
Top Bottom