Kagera, tubebe msalaba wetu wa tetemeko, njaa, UKIMWI mpaka kwenye sanduku la kura mwaka 2020!

Hii ndoto ....hakika 2020 utashuhudia...
We tulia!! Una ulemavu wa ubongo!acha wanaume tukutetee,maana hata mbuzi aliyeangukia shimoni huwa anaikimbia kamba unayojaribu kumvisha ili kumwokoa!! Lakini kwa vile sisi ni Binaadamu wenye akili timamu tutamvisha tu!! Hata kwa lazima! Maana tunajua kuwa yeye ni Mbuzi tu!! Ni jukumu letu kumwokoa no matter what!
 
2019 kwanza wanyoishwe kwenye serikali za mitaa. Nakumbuka ishu ya Escrow ilivyitokea watu wanaangalia bunge live wakawaadabisha CCM mpaka kwa hasira wakazuia bunge.
 
Uchaguzi ni mkakati, mnaweza mkajipanga kukomoa chama flani lakn kikashinda kwa kishindo tena ndani ya eneo linalokichukia. Mifano mnayo ya kutosha. Shein alipata 94% ndani ya visiwa vyenye asilimia kubwa ya wapinzani. So msijidangaye wakati hamna mkakati wowote
 
Hapo hamuwezi fanya chochote.Kwa tume ipi ya uchaguzi? Tena huko kwenu ndo atapita kwa kishindo,Kikwete aliwaambia walimu ninyimeni kura zenu sitekelezi matakwa yenu.Walimu wakasimamia uchaguzi na boss akashinda kwa kishindo,sembuse nyie ambao hata hamhusiki hata kuhesabu kura!!! Dua la kuku...
 
Inauma sana but ndugu zangu huo msalaba hata kama mkakodi Scania kuufikisha hiyo 2020 kwa katiba hii hamtokaa mfanye lolote,tatizo letu ni katiba.
 
Wahaya wenzangu na wanakagera kwa ujumla,

Tumeambiwa tubebe msalaba wetu,tuubebe bila kuchoka,bado kitambo kidogo,tutapumzika
Ukweli una tabia ya kuchoma choma.Hata ukienda India utakuta ukweli unachoma choma.
 
Jamaaa anachezea wahaya... Tusinge mbele na matetemeko yetu, ukimwi wetu, minyauko yetu, katerelo yetu, ngono yetu.. Tkutane 2020 kwenye box la kura
 
Tatizo la watu wanaikataa CCM kipindi cha dhiki wakionjeshwa raha kidogo wako na CCM.
Subirini maraha yatakayoshushwa 2019 na 2020 kabla ya uchaguzi. Matusi, kejeli na maneno machungu yote yatasahaulika. Wakishachaguliwa tu, shubiri inalowekwa. Mtainywa taratibu hadi 2025.
 
Back
Top Bottom